MAPEMA leo tulipandisha habari yenye kichwa kisemacho; "KESSY ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 120 AANZE KUCHEZEA YANGA WAKATI WOWOTE.
Habari hiyo ilikuwa ina mapungufu na kwa ujumla haikuwa sahihi, ingawa haikuwa mbali sana na ukweli. Kwa dhati BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE tunakiri kosa juu ya habari hiyo, kwani tuliandika tofauti na tulivyopaswa kuandika – kulingana na maelezo ya chanzo cha habari yenyewe.
Habari yenyewe kwa usahihi ilifuatia baadaye na tukaipandisha chini ya kichwa kisemacho; TAARIFA RASMI YA TFF KUHUSU HASSAN KESSY NA MKATABA WA SIMBA
Tunachukua fursa hii kuwaombaa radhi wasomaji wetu, hususan waathirika wa moja kwa moja na makosa haya – klabu ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Pamoja na hayo, tunaahidi kuongeza umakini katika uchukuaji, uandikaji na upandishaji wa habari, ili kuepuka makosa kama haya. Asanteni.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2bQbOVl
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KUNRADHI;. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/08/kunradhi.html. Terimakasih atas perhatiannya.