Tevez atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani Pauni 615,000 kwa wiki ni sawa Pauni Milioni 31.98 kwa mwaka na aatafutaiwa na Mbrazil Oscar wa Shanghai SIPG anayelipwa Pauni 400,000 kwa wiki, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid Pauni 365,000 kwa wiki, Lionel Messi wa Barcelona Pauni 365,000 kwa wiki na Gareth Bale wa Real Madrid Pauni 346,000 kwa wiki.
1) Carlos Tevez (Shanghai Shenhua) Pauni 615,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 31.98 kwa mwaka
2) Oscar (Shanghai SIPG) Pauni 400,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 20.8 kwa mwaka
3=) Cristiano Ronaldo (Real Madrid) Pauni 365,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 19 kwa mwaka
3=) Lionel Messi (Barcelona) Pauni 365,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 19 kwa mwaka
5) Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 18 kwa mwaka
6) Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka
7) Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 15 kwa mwaka
8) Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 15 kwa mwaka
9=) Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka
9=) Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki sawa na Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka.
*Uhamisho unatarajiwa kukamilishwa Januari*