KLABU ya Arsenal imetangaza kuwaongezea mikataba wachezaji wake watatu Wafaransa, Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin, huku iki mbioni pia kuwaongezea mikataba na Mesut Ozil na Alexis Sanchez.
Arsene Wenger amechangia kwa kiasi kikubwa klabu kufanikisha mpango wa kuwatia pingu wachezaji hao tegemeo kwa sasa The Gunners.
Beki Koscielny, mwenye umri wa miaka 31, sasa anataka kumalizia soka yake London Kaskazini kwa kusiani mkataba wa miaka mitatu na nusu utakaomfanya adumu hadi mwaka 2020 akilipa Pauni 80,000 kwa wiki.
The Gunners pia itaendelea kupata huduma za Giroud na Coquelin. Katika mkataba wa miaka miwili na nusu aliosaini, mshahara mpya wa Giroud ni Pauni 90,000 kwa wiki na sasa atadumu Emirates hadi mwaka 2019, wakati Coquelin amesaini miaka minne na nusu na sasa atakuwa akilipwa Pauni 75,000 kwa wiki.
Kutoka kushoto mbele ya kocha Arsene Wenger ni Francis Coquelin, Laurent Koscielny na Olivier Giroud ambao wote wamesaini mikataba mipya Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jcgiY9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARSENAL YAWATIA PINGU WAFARANSA WAKE WATATU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/arsenal-yawatia-pingu-wafaransa-wake.html. Terimakasih atas perhatiannya.