CAMEROON imebisha hodi Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya jana kuifunga Guinea-Bissau 2-1, huku wenyeji Gabon wakilazimishwa sare ya pili mfululizo katika Kundi A licha ya Pierre-Emerick Aubameyang kufunga tena.
Simba Wasiofungika walitoka nyuma na kuifunga Guinea-Bissau kwa mabao ya Sebastien Siani dakika ya 61 na Michael Ngadeu dakika ya 78 baada ya Piqueti Djassi kutangulia kufunga dakika ya 13.
Cameroon sasa watahitaji sare tu katika mchezo wao wa mwisho na wenyeji Gabon ili kwenda Robo Fainali kutoka Kundi A.
Katika mchezo uliotangulia, mkwaju wa penalti wa Aubameyang dakika ya 38 uliwanusuru Gabon kulala mbele ya Burkina Faso kwa kupata sare ya 1-1 baada ya Prejuce Nakoulma kutangulia kuwafungia wageni dakika ya 23 Uwanja wa l'Amitie.
Hiyo ilikuwa sare ya pili mfululizo kwa Gabon baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 pia dhidi ya Guinea-Bissau.
Michuano hiyo inaendelea kwa mechi za Kundi B leo, Algeria ikimenyana na Tunisia kuanzia Saa 1:00 usiku na Senegal ikimenyana na Zimbabwe kuanzia Saa 3:00 usiku.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jzPoKg
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms