Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM
TIMU ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 nchini, Tanzanite imetupwa nje ya michuano ya kuwania kucheza fainali za Dunia mwakani Ufaransa, baada ya kukubali kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa Nigeria katika mechi iliyopigwa Jumapili kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Tanzanite imetolewa kwenye michuano hiyo kwa jumla ya mabao 9-0, baada ya awali kufungwa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza nchini Nigeria.
Katika mechi ya marudiano mabao ya Nigeria yamefungwa na Rasheedat Busayo dakika ya 21 akipokea pasi ya Mary Imo aliyemvisha kanzu beki wa Tanzanite na kupiga shuti la mbali nje ya 18
|
Kipa wa Tanzanite, Wema Rashid (kulia) akiwa taabani leo baada ya kufungwa 6-0 |
Dakika 28 Rasheedat Busayo tena aliwainua vitini mashabiki wachache wa Nigeria waliokuwa uwanjani hapo baada ya kufunga bao la pili kwa shuti la mbali baada ya kipa wa Tanzanite kutoka langoni kwake na bao la tatu la Nigeria lilifungwa na Florence Ijamilusi dakika ya 36 akipokea pasi safi ya Mary Imo.
Dakika ya 39 Nigeria walipata bao la nne kupitia Mary Imo kwa shuti kali linalomshinda kipa wa Tanzanite. Mabao hayo yalidumu hadi mapumziko ambapo Nigeria walikwenda wakiwa mbele kwa mabao 4-0.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Tanzanite wakionekana kuamka na kutafuta bao lakini walishindwa kuendana na kasi ya wapinzani wao na kujikuta dakika ya 51 wakiruhusu kufungwa bao la tano kupitia Florence Ijamilusi.
Cynthia Pnyekidachi aliyeingia kuchukua nafasi ya Florence dakika ya 57 alihitimisha karamu ya mabao ya Nigeria akiifungia timu hiyo bao la sita bao lililodumu hadi dakika ya 90 ya mchezo huo
Waamuzi wa mechi hiyo walikuwa Batol Ibrahim aliyekuwa mwamuzi mkuu akisaidiwa na Hanadi Mohamed na Remaz Osman wote kutoka nchini Sudan.
Kikosi cha Tanzaniate kilikuwa; Wema Rashid, Gelwa Yona, Stella Wilbert, Aquila Gasper, Vero Gabriel, Esther Mayala, Asphat Kasindo, Rukia Anaph, Zainab Ati, Opa Clement na
Philomena Daniel.
Nigeria; Oluwakemi Famuditi, Onyinyechukwu Okeke, Ewomizino Efit, Florence Ijamilusi, Grace Chinyere, Mary Imo, Glory Akumbu, Ope Yemi Anu, Amoo Bashrat, Lilian Tule na
Rasheedat Busayo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hFFc3m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TANANIA YATANDIKWA 6-0 NA NIGERIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/10/tanania-yatandikwa-6-0-na-nigeria.html. Terimakasih atas perhatiannya.