• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ▼  Januari (557)
      • NI NIGERIA NA MOROCCO FAINALI YA CHAN JUMAPILI CAS...
      • WALIOINGIA NA KUTOKA DIRISHA DOGO KILA KLABU LIGI ...
      • YANGA YAONDOKA LEO MBEYA KUIFUATA LIPULI LIGI KUU ...
      • MAN CITY YAITANDIKA WEST BROMWICH ALBION 3-0 KAMA ...
      • WALCOTT AIFUNGIA MABAO YOTE EVERTON YAICHAPA 2-1
      • SANCHEZ AKUTANA NA KIPIGO CHA SPURS 2-0 MAN UNITED
      • CHELSEA WAKUNG'UTWA 3-0 KAMA WAMESIMAMA DARAJANI KWAO
      • SPURS YAKAMILISHA UHAMISHO WA LUCAS MOURA KUTOKA PSG
      • SIMBA SC WANAVYOJIANDAA NA DURU LA PILI LIGI KUU
      • MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG
      • MTIBWA SUGAR, PRISONS, MAJI MAJI NAZO ZATINGA 16 B...
      • GIROUD AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA ARS...
      • Vodacom Durban July 2018 - Ante-Post Betting
      • TFF YAJISAFISHA MADAI YA KUTOZILIPA TIMU FEDHA ZA ...
      • ‘MWENYEKITI YANGA’ AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUIKAS...
      • Hollywoodbets Valentine's Day Promotion Terms and ...
      • NFD: Week 20 Preview
      • OZIL AKUBALI KUJITIA PINGU ARSENAL KWA MIAKA MITAT...
      • Italian Serie A: Week 23 Preview
      • REKODI YA ALEXIS SANCHEZ UWANJA WA WEMBLEY INATISHA
      • Aubameyang Officially a Gunner
      • PERRE-EMERICK AUBAMEYANGA NI MCHEZAJI MPYA WA ASRENAL
      • PSL: Week 20 Preview
      • German Bundesliga: Week 21 Preview
      • 2018 Six Nations: Wales v Scotland Preview
      • ARSENAL YATHIBITISHA KWA 'BAHATI MBAYA' KUMSAJILI ...
      • South Africa vs India: First ODI Preview
      • European Tour: Maybank Championship Preview
      • KOCHA MAYANGA KWA RAHA ZAKE NA WAZUNGU WAKE
      • MAN CITY YAMSAJILI LAPORTE WA ATHLETIC BILBAO KWA ...
      • EMERSON RALMIERI TAYARI NI MCHEZAJI MPYA WA CHELSEA
      • ROSTAND AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA AZAM SPORT...
      • De Villiers Sidelined for Opening ODI's against India
      • PSL: Ajax Cape Town vs Orlando Pirates Preview
      • PSL: SuperSport vs AmaZulu Preview
      • Arsenal Close in on Aubameyang
      • The Latest on Thomas Lemar
      • AUBAMEYANG APANDA NDEGE DORTMUND KWENDA LONDON
      • Dolphins eyeing second white ball final this season
      • PETER APIGA HAT TRICK AZAM FC YAITANDIKA SHUPAVU 5...
      • TUMBA ALIYEIBUKIA AZAM AKANG’ARA COASTAL NA MBEYA ...
      • R812m Spent at IPL 2018 Auction
      • BEKI WA ZAMALEK ASAINI KWA MKOPO WEST BROMWICH ALBION
      • AMIR KHAN KUREJEA ULINGONI BAADA YA MIAKA MIWILI
      • PIQUE AONGEZA MKATABA BARCELONA WA KUCHEZA HADI AT...
      • CHOC receives R9000 after Hollywoodbets Dolphins M...
      • Varsity Cup: Round 1 Preview
      • 2018 Six Nations: Young Guns to Watch
      • Blitzboks Take Sevens Series Lead Despite Sydney D...
      • 2018 World Cup Russia: Group Betting
      • Bangladesh vs Sri Lanka: First Test Preview
      • MODC: Semi-Finals Preview
      • Vaal Thursday 1 February 2018 Best Bets
      • ARSENAL YAKUBALI KUTOA PAUNI MILIONI 55.4 KUMNUNUA...
      • Scottsville Wednesday 31 January 2018 Best Bets
      • 24 PSL Transfer Rumours and Signings
      • Vaal Tuesday 30 January 2018 Best Bets
      • EPL: Gameweek 25 Preview
      • AISHI MANULA ADAKA MECHI 14 BILA KURUHUSU BAO KATI...
      • EPL: Tottenham vs Manchester United Preview
      • LIBYA YAING'OA KWA MATUTA KONGO, NIGERIA YATUMIA D...
      • SIMBA SC NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA UWANJA WA ...
      • LUIS SUAREZ AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LA LIGA
      • MESSI AIFUNGIA LA USHINDI BARCELONA DAKIKA ZA MWIS...
      • SIMBA SC 4-0 MAJI MAJI FC
      • MAN CITY YAICHAPA CARDIFF CITY 2-0 KOMBE LA FA ENG...
      • MUSLAH NA WADAU WENGINE WALIOISHUHUDIA SIMBA IKIUA...
      • BATSHUAYI AFUNGA MAWILI CHELSEA YAIPIGA 3-0 NEWCAS...
      • OKWI MBILI, BOCCO MBILI…SIMBA YA MFARANSA YAUA 4-0
      • Scottsville Sunday 28 January 2018 Best Bets
      • SALVATORY EDWARD NA RAIS WEAH WA LIBERIA ENZI HIZO...
      • VIONGOZI AZAM FC WASITHUBUTU KURUDIA KOSA KAMA LA ...
      • AZAM FC NA YANGA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI
      • SIMBA SC KUONJESHA LADHA YA KOCHA MFARANSA LEO IKI...
      • MOROCCO NA SUDAN ZATINGA NUSU FAINALI CHAN 2018
      • RODRIGUEZ AITUPA NJE LIVERPOOL KOMBE LA FA ENGLAND...
      • AZAM FC 1-2 YANGA SC
      • YONDAN AKIMUONGOZA KAMANDA MUSLIM 'KIKAMANDA' LEO ...
      • KELECHI, DIABATE KILA MMOJA AFUNGA MAWILI LEICESTE...
      • RONALDO AFUNGA PENALTI MBILI REAL YAICHAPA 4-1 VAL...
      • Australia v England: Fifth ODI Preview
      • YANGA WAIZIMA AZAM FC CHAMAZI…WAMEULIWA NA KIJANA ...
      • Sun Met 2018 Winner - OH SUSANNA
      • NYOSSO APELEKWA KAMATI YA MAADILI KUCHUKULIWA HATU...
      • WACHEZAJI FRIENDS RANGERS WAFUNGIWA KWA KUGEUZA SO...
      • MALALAMIKO YA DODOMA FC DHIDI YA JKT OLJORO YAPUUZWA
      • YANGA SC WAIFUATA AZAM FC KINYONGE LEO CHAMAZI
      • MESSI APEWA KIATU KIPYA CHA ADIDAS KUELEKEA MECHI ...
      • RONALDO AJIFUA NA MAUMIVU YA JICHO KUJIANDAA NA ME...
      • SANCHEZ AANZA NA PASI ZA MABAO MAWILI MAN UNITED Y...
      • SANKHANI MKANDAWIRE AWAVURUGA MBEYA CITY, ASAINI M...
      • MCHA APIGA ZOTE RUVU SHOOTING YAICHAPA MBAO FC 2-0...
      • SAFARI YA MWISHO YA JUMANNE NTAMBI ALIYEKUWA KOCHA...
      • MANCHESTER UNITED WAFANYA MAZOEZI KWENYE MAEGESHO ...
      • Spanish La Liga Week 21 Preview
      • PSL: Mamelodi Sundowns vs Kazier Chiefs Preview
      • YANGA BADO WASOTEA KIBALI CHA LWANDAMINA, NSAJIGWA...
      • SANCHEZ HUYOOO, APANDA NDEGE KWENDA KUANZA KAZI MA...
      • Solid Sstart in Sydney for Blitzboks
      • Springbok Sevens Skipper Earns 50th Cap
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KAPERA

TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KAPERA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Omary Kapera aliyefariki dunia juzi kuzikwa jana mchana.
Rais Karia amesema kwamba amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba huo; "Nimeshtushwa na taarifa hizo za kifo cha Kapera hasa ikichukuliwa bado tupo kwenye majonzi ya kumpoteza mchezaji mwingine wa zamani Athuman Juma Chama, kwa niaba ya Shirikisho natoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo kuanzia kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki,”alisema Rais Karia.
Rais wa TFF (kushoto), Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Omary Kapera  

Omar Kapera ‘Mwamba Kifua’ alikuwa sentahafu wa Yanga tangu miaka ya 1960 hadi 1977 alipokwenda kujiunga na Nyota Afrika ya Morogoro kufuatia mgogoro mkubwa uliobuka klabu ya Jangwani mwaka 1976.
Kapera na kundi la wachezaji wenzake walioondoka Yanga baada ya mgogoro huo wa kihistoria, baadaye walirejea Dar es Salaam kuasisi Pan Africans iliyokuja kuwa tishio pia katika soka ya Tanzania kabla ya kupoteza makali baada ya muongo mmoja.
Omar Kapera wa Yanga (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Simba, Abdallah Kibadeni enzi zake 
Kapera alikuwepo kwenye kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba SC 5-0 Juni 1, mwaka 1968 Uwanja wa Karume, Dar es Salaam siku hiyo mabao ya wana Jangwani yakifungwa na Maulid Dilunga mawili dakika ya 18 kwa penalti na 43, Salehe Zimbwe dakika za 54 na 89 na Kitwana Manara ‘Popat’ dakika ya 86.
Na ni kikosi hicho kilichofika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara mbili mfululizo mwaka 1969 na 1970 na kutolewa na Asante Kotoko ya Ghana mara zote.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2CXuLB5 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KAPERA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/tff-yatuma-salamu-za-rambirambi-msiba.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 05.04
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
Copyright Viral Sports: TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KAPERA