Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BAADA ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam FC, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Ramadhani Nsanzurwimo amesema atahakikisha analipa kisasi kwa wapinzani wake hao katika mchezo wao Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mbeya City itawakaribisha Azam katika mechi ya mzunguko wa pili unaotarajiwa kuchezwa Aprili 8 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine, Mkoani Mbeya.
Nsanzurwimo ameliambia kwamba anaendelea na mazoezi kwa ajili ya kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo huo na kutokubali kupoteza pointi kwa Azam.
Alisema anahitaji kulipa kisasi kutokana na wapinzani wake hao kupata pointi tatu muhimu katika uwanja wake wa Nyumbani, Azam Complex, hivyo anahitaji kulipa kisasi kwao.
“Siwadharau Azam ni timu nzuri, pia nahitaji kutumia vyema uwanja wetu wa nyumbani, wenzetu wanahitaji kupata ushindi kwenda juu, kwetu tunahitaji pointi hizo kujinasua katika nafasi tuliopo sasa,” alisema.
Nsanzurwimo alisema hadi sasa anamajeruhi mmoja ambaye ni Erick Kiyaruzi anayetibiwa chini ya mtalaam wa viungo, Daktari Gilbert Kigadye.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2G8Ub09
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms