Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro itawakosa wachezaji wake wawili, wote mabeki wa pembeni, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ na Salum Kanoni katika mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federationa Cup (ASFC) dhidi ya Azam FC kesho.
Mtibwa Sugar watakuwa wageni wa Azam FC kuaniza Saa 2:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam katika Robo Fainali ya ASFC.
Na kuelekea mchezo huo, Kocha wa timu hiyo Kocha Mkuu wa Mtibwa, Zuberi Katwila amesema kwamba wachezaji wake wengine wote wapo fiti ukiondoa mabeki wa zamani wa Simba, Baba Ubaya na Kanoni ambao watakosekana kesho.
Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ atakosekana katika mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federationa Cup dhidi ya Azam FC kesho
Akizungumzia mchezo huo, Katwila mchezaji wa zamani w Mtibwa, amesema; “Kila timu iliyofika hapa katika robo fainali ya kombe hili ni nzuri, hivyo tunajua tunaenda kupambana na timu nzuri hivyo tunaenda tukijua tunapambana na timu nzuri ila tumejipanga kwa ajili ya kuwaletea furaha na heshima wana Mtibwa Sugar”.
Robo Fainali za Azam Sports Federation Cup zinaanza jioni ya leo, Stand United wakiikaribisha Njombe Mji FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Kabla ya Azam FC kuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar kuanzia Saa 2:00 usiku kesho, Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa JKT Tanzania Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na Aprili 1, Uwanja wa Namfua mjini Singida, Yanga watakuwa wageni wa Singida United.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2uw5kUv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms