• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ▼  Maret (435)
      • CUADRADO, DYBALA WAFUNGA JUVENTUS YAIPIGA 3-1 AC M...
      • PSG WABEBA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUIPIGA 3-0 ...
      • IBRAHIMOVIC AANZA NA MBILI LA GALAXY IKISHINDA 4-3...
      • ANTHONY JOSHUA AKUTANA NA BONDIA KWELI, ASHINDA KW...
      • MESSI ATOKEA BENCHI KUINUSURU BARCELONA NA KICHAPO...
      • LEWANDOWSKI APIGA TATU BAYERN YAICHAPA DORTMUND 6-0
      • BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA
      • JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODIS...
      • MTIBWA SUGAR WAENDA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDER...
      • SANCHEZ AANZA KULIPA OLD TRAFFORD, ASETI LA KWANZA...
      • SALAH AIFUNGIA LA USHINDI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTA...
      • NGORONGORO YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU AFCON U20 NIGER ...
      • KUMEKUCHA TUZO ZA FILAMU TANZANIA, RAIS MSTAAFU JK...
      • JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA ...
      • MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI ...
      • MAKAMU MWENYEKITI AZAM FC APEWA UJUMBE BODI YA OLI...
      • Pakistan vs West Indies: First T20 Preview
      • NGORONGORO YAPANIA KUWAZIMA U-20 WA DRC LEO TAIFA
      • ZLATAN IBRAHIMOVIC ALIVYOANZA KAZI KWA FURAHA LA G...
      • AALIYAH WA BEINTEHAA AWASILI DAR KUUPAMBA USIKU WA...
      • POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN UNITED MECHI NA SWANSE...
      • NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM NYUMBANI BRAZIL KUJIWEKA ...
      • JOSHUA ALIVYOMTAZAMA KWA HAMU PARKER WAKIPIMA UZIT...
      • STAND UNITED YATANGULIA NUSU FAINALI AZAM SPORTS F...
      • EMMANUEL OKWI AREJEA LEO KUKAMILISHA KIKOSI CHA SI...
      • FEISAL YU TAYARI KUTUA POPOTE YANGA AU SINGIDA UNI...
      • MTIBWA SUGAR KUWAKOSA BABA UBAYA NA KANONI MECHI N...
      • SIMBA SC WAENDA KUWEKA KAMBI IRINGA MECHI NA NJOMB...
      • Greyville Friday 30 March 2018 Best Bets
      • Fairview Friday 30 March 2018 Best Bets
      • Lehmann Set to Resign after Wanderers Test
      • Steve Smith Issues Public Apology
      • "I Am Extremely Disappointed and Regret My Actions...
      • David Warner Breaks Media Silence
      • Super Rugby 2018: Brumbies v Waratahs Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek 30 Preview
      • Easter Eggs-travaganza: Terms and Conditions
      • English Premier League: Chelsea v Tottenham Preview
      • English Premier League Week 32 Preview
      • ERCC: Scarlets v La Rochelle Preview
      • MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM K...
      • Super Rugby: Chiefs v Highlanders Preview
      • ERCC: Munster v Toulon Preview
      • ERCC: Leinster v Saracens Preview
      • PSL: Week 25 Preview
      • Super Rugby: Rebels v Hurricanes Preview
      • Super Rugby: Bulls vs Stormers Preview
      • KIINGILIO NGORONGORO HEROES NA KONGO SH 1,000 TU, ...
      • Opinion: Waugh had cricketing giants, Smith just h...
      • New Zealand vs England: Second Test Preview
      • US PGA Tour: The Houston Open
      • Vaal Thursday 29 March 2018 Best Bets
      • Super Rugby: Blues v Sharks Preview
      • Italian Serie A: Week 30 Preview
      • Super Rugby: Lions vs Crusaders Preview
      • German Bundesliga: Week 28 Preview
      • MTOTO WA WEAH AWEKA REKODI TIMU YA TAIFA YA MAREKANI
      • Nedbank Cup: Quarterfinals Preview
      • Australia Admit to Using Sandpaper and Warner the ...
      • NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO ...
      • Interview with Jon Champion
      • NFD: Week 25 Preview
      • English Championship: Week 39 Preview
      • Smith, Warner, Bancroft Handed Lengthy Bans
      • David Warner Steps down as SunRisers Hyderabad Cap...
      • Cricket Australia Answer 'Cheating Scandal' Questions
      • SHANGWE ZA MABAO TAIFA STARS IKIUA CHUI WA KONGO LEO
      • TANZANIA 2-0 DRC
      • TAIFA STARS YAWAPA RAHA WANANCHI, YAWAPIGA KONGO 2...
      • Greyville Wednesday 28 March 2018 Best Bets
      • Aphiwe Dyantyi out for Six Weeks
      • Bulls Forward out of Crusaders Clash
      • UEFA Changes Rules for January Signings
      • 11 Bulls Players to Start Springbok Prep
      • TFF KIBOKO, JANA IMETOA RATIBA MPYA YA LIGI KUU, L...
      • LECHANTRE AWAPA PROGRAMU MAALUM MBONDE, NIYONZIMA ...
      • MRUNDI WA STAND UNITED ASEMA NJOMBE MJ FC KIFO CHA...
      • LWANDAMINA AWAPA MAZOEZI YA NGUVU YANGA MOROGORO W...
      • US Masters: Tiger Woods Special
      • PIGO SIMBA SC, JONAS MKUDE AUMIA MAZOEZINI HADI KU...
      • MTIBWA SUGAR YAWACHAPA 2-0 WATOTO WA JULIO KIRAFIK...
      • Vaal Tuesday 27 March 2018 Best Bets
      • KIMWAGA APANIA KUFUFUA MAKALI ZAIDI AZAM FC BAADA ...
      • MBONDE, NIYONZIMA WAANZA KUJIFUA RASMI SIMBA SC, K...
      • Varsity Cup 2018 Round 9 Preview
      • 5 Talking Points from the Sporting Weekend
      • TFF YAPANGUA TENA RATIBA YA LIGI KUU, SIMBA NA YAN...
      • South Africa vs Australia: Fourth Test Preview
      • Hollywood Bunny Bar - Menu
      • ATP Premier: Round of 32 Selected Matches Preview
      • WTA Premier: Round of 16 Selected Matches Preview
      • RONALDO ALIVYO TAYARI KUICHEZEA URENO DHIDI YA UHO...
      • Muthusamy stars as Dolphins make a fist of rain ma...
      • Vodacom Durban July 2018 - Ante-Post Betting
      • DRC WAWASILI NA KIKOSI CHA NYOTA KIBAO WA ULAYA KU...
      • CHISORA NAYE ASHINDA KWA KO RAUNDI YA PILI DHIDI Y...
      • DILLIAN WHYTE AMTWANGA BROWNE KO RAUNDI YA SITA 02...
      • WELAYTA DICHA ITATOLEWA KWA MAANDALIZI MAZURI NA S...
      • MBEYA CITY WAENDA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI MALAWI...
      • NJOMBE MJI WAGOMA KUCHEZA NA SIMBA APRILI 3 WAKO T...
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » TAIFA STARS YAPUNGUZA UTEJA KWA ALGERIA, YAPIGWA 4-1 TU LEO ALGIERS

TAIFA STARS YAPUNGUZA UTEJA KWA ALGERIA, YAPIGWA 4-1 TU LEO ALGIERS

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepunguza unyonge kwa Algeria, baada ya leo kufungwa mabao 4-1 tu katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Julai 5, 1962 mjini Algiers, usiku huu.
Hiyo ni baada ya The Green kuipiga Taifa Stars7-0  Novemba 17, mwaka 2015 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia, kipa Ally Mustafa Barthez akifungwa mabao matatu kipindi cha kwanza na kipindi cha pili akaingia Aishi Manula naye akapigwa nne Uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida, kiungo Mudathir Yahya akitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41, baada ya njano ya kwanza dakika ya 22. 
Siku hiyo, mabao ya Algeria yalifungwa na Yacine Brahimi dakika ya kwanza, Faouzi Ghoulam mawili dakika ya 23 na 59 kwa penalti, Ryad Mahrez dakika ya 43, Islam Slimani mawili moja kwa penalti dakika ya 49 na lingine dakika ya 75 na Carl Medjani dakika ya 72.
Taifa Stars imepunguza unyonge kwa Algeria leo kufungwa mabao 4-1 kutoka 7-0 mwaka 2015 

Na leo tena Carl Medjani amefunga moja, wakati mabao mengine yamefungwa na Baghdad Bounedjah mawili na Shomari Kapombe aliyejifunga.
Baghdad anayechezea Al Sadd ya Qatar alifunga bao la kwanza dakika ya 12akimalizia pasi ya Riyad Mahrez wa Leicester City ya England kabla ya kupsaua katikati ya mabeki wa Taifa Stars Abdi Banda wa Baroka FC ya Afrika Kudini na Kelvin Yondan wa Yanga Tanzania na kumchambua kipa, Abdulrahman Mohamed wa JKU ya Unguja.
Nahodha Mbwana Ally Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji akapiga shuti zuri dakika ya 14 baada ya pasi ya gardiel Michael Mbaga wa Yanga SC, lakini kipa Faouzi Chaouchi wa MC Alger  ya nyumbani akapangua kabla ya mabeki wake kuondosha kwenye eneo la hatari.
Zinedine Ferhat wa Le Havre ya Ufaransa alipiga fyongo dakika ya 18 baada ya pasi ya Baghdad ambaye naye alipasiwa na Salim Boukhanchouche wa JS Kabylie ya nyumbani.
Winga wa Difaa Hassan El – Jadidi ya Morocco, Simon Msuva akaifungia bao la kusawazisha Tanzania dakika ya 20 kwa kichwa cha kuparaza na mpira ukambabatiza Hillel El Arbi Soudani na kumpita kipa Faouzi Chaouchi kufuatia kona ya kiufundi ya winga wa Simba SC ya nyumbani, Shiza Kichuya.
Dakika moja kuelekea mapumziko, beki wa Simba SC, Shomari Kapombe akajifunga kwa kichwa kuipatia Algeria bao la pili dakika ya 44 akijaribu kuokoa krosi ya Sofiane Hanni.
Kipindi cha pili Taifa Stars walio chini ya kocha Salum Mayanga wakawa wepesi zaidi na kuruhusu mabao mawili zaidi, kwanza dakika ya 53 Carl Medjani akifunga kwa pasi ya Aissa Mandi kufuatia krosi ya Hillel El Arbi Soudani aliyepokea pasi ya Sofiane Hanni na baadaye Baghdad Bounedjah dakika ya 79 akiwachambua mabeki wote wa Stars na kukamilisha shangwe za mabao za The Green.
Taifa Stars ilizidiwa katika eneo la kiungo pamoja na kocha Salum Mayanga kupanga watu watatu, Mudathir Yahya wa Azam FC anayecheza kwa mkopo Singida United, zote za nyumbani, Said Ndemla wa Simba na Himid Mao wa Azam FC.
Baada ya mchezo huo dhidi ya Algeria, Taifa Stars inarejea nyumbani kucheza mchezo mwingine wa kirafiki Jumatatu dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Kikosi cha Algeria kilikuwa; Faouzi Chaouchi, Carl Medjani, Aissa Mandi, Ramy Bensebaini/ Farouk Chafaï dk68, Sofiane Hanni/Mohamed Lamine Abid dk83, Riyad Mahrez, Zinedine Ferhat, Nabil Bentaleb/ Ismael/Bennacer dk60, Salim Boukhanchouche/ Farid El Melali dk89, Hillel El Arbi Soudani/ Mokhtar Benmoussa dk78 na Baghdad Bounedjah.
Tanzania; Abdulrahman Mohamed, Shomari Kapombe, Gardiel Michael, Abdi Banda, Kelvin Yondani, Mudathir Yahya, Said Ndemla/Erasto Nyoni dk62, Himid Mao, Mbwana Samatta, Simon Msuva/Rashid Mandawa dk89 na Shiza Kichuya/Mohammed Issa ‘Banka’ dk74.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2HXPNOO best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TAIFA STARS YAPUNGUZA UTEJA KWA ALGERIA, YAPIGWA 4-1 TU LEO ALGIERS. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/03/taifa-stars-yapunguza-uteja-kwa-algeria.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 12.34
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
Copyright Viral Sports: TAIFA STARS YAPUNGUZA UTEJA KWA ALGERIA, YAPIGWA 4-1 TU LEO ALGIERS