Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Yanga SC, Donald Ngoma anaendelea kuimarika katika kambi ya timu hiyo mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federation (ASFC) Aprili 1, mwaka huu.
Yanga watakuwa wageni wa Singida United katika Robo Fainali ya mwisho ya Azam Sports Federation Jumapili Uwanja wa Namfua mjini Singida na katika kujiandaa na mechi hiyo wameweka kambi Morogoro.
Majeruhi wa muda mrefu, Ngoma ni miongoni mwa wachezaji waliopo kambini Morogoro na Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kwamba Mzimbabwe huyo anaendelea vizuri.
Donad Ngoma aliumia Septemba 30, mwaka jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Saleh amesema Ngoma ameshiriki mazoezi na wenzake kikamilifu kwa siku zote mbili chini ya kocha Mkuu, Mzambia George Lwandamina.
Meneja huyo amesema kwamba Ngoma amekuwa akifanya mazoezi yote yanayotolewa na kocha wake ikiwa kupiga mashuti, mipira ya faulo pamoja na mbinu za kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo huo.
"Ngoma anaendelea vizuri, ameungana na wenzake kwa kufanya mazoezi ya pamoja, kufuatia majukumu ya benchi la ufundi," alisema.
Meneja huyo alisema hali ya kambi ipo vizuri pamoja na kufanya mazoezi mara mbili kwa siku ikiwemo asubuhi na jioni.
Donad Ngoma aliumia Septemba 30, mwaka jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Kuhusu hali ya mshambuliaji mwingine majeruhi wa muda mrefu, Mrundi, Amissi Tambwe, Saleh amesema kwamba mchezaji huyo anaendelea na mazoezi mepesi ya viungo mjinj Dar es Salaam ataungana na wenzake timu hiyo itakaporejea kutoka Singida.
Baada ya mechi na Singida, Yanga SC watarudi Dar es Salaam kwa maandalizi ya mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Aprili 7, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2GdeBGp
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms