Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI tegemeo wa Simba SC, Emmanuel Okwi anatarajiwa kutua leo nchini na kujiunga na kikosi cha timu hiyo kinachoondoka kesho mjini Dar es Salaam kwenda Iringa tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji.
Timu hizo zinatarajia kukutana Aprili 3, Mwaka huu mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Saba Saba mjini humo na akizungumza na Bin Zubeiry Sports – Online leo, Meneja wa Simba, Richard Robert amesema kwamba mara atapowasili, Okwi ataungana na wachezaji wenzake kwa safari ya Iringa mapema kesho.
Emmanuel Okwi anatua leo kujiunga na kikosi cha Simba SC kwa safari ya Iringa kesho
Kikosi cha Simba SC chini ya kocha wake Mkuu, Mfaransa Pierre Lechantre kinaondoka mapema kesho kwenda Iringa kuweka kambi siku mbili kujiandaa na mchezo dhidi ya Njombe Mji FC.
Okwi pamoja na Mganda mwenzake, beki Juuko Murshid walikuwa kwenye timu yao ya taifa, ambayo ilikuwa na mechi mbili za kirafiki katikati ya wiki, ikishinda 3-1 dhidi ya Sao Tome e PrÃncipe Machi 24 na sare 0-0 na Machi 27 Uwanja wa Mandela mjini Kampala.
Lakini Juuko yuko nchini tangu juzi, ingawa haijulikani kilichomfanya Okwi akachelewa.
Meneja huyo alisema wachezaji watakaokuwepo katika msafara huo pamoja na Salim Mbonde na Haruna Niyonzima ambao walikuwepo majeruhi na sasa kurejerea kikosini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2GYrl0z
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms