Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tuzo ya filamu bora itayofanyika kesho usiku, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Katika tuzo hizi kutakuwa watu maarufu kutoka Serikalini pamoja na wasanii ndani na nje ya nchi huku msanii wa kihindi wa kike Preetika Rao maarufu kama 'Aaliyah', atakuwa miongoni mwa wageni maalum.
AAliyah aliwasili nchini jana na tayari kwa ajili ya shuhuri hiyo akiambatana na wasanii maarufu akiwemo Abdul Nassib 'Diamond', Hamisa Mobeto na wengine kutoka Kenya, Zambia, Uganda na Rwanda.
Preetika Rao au 'Aaliyah' (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari leo ofisi za Azam TV, Tabata mjini Dar es Salaam
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports – Online, Mkuu wa Channel za Azam, Fatuma Mohammed alisema mbali na wageni hao watakaokuwepo katika tuzo hiyo pia atakuwepo Waziri wa Habari utamaduni sanaa na michezo, D. Harrison Mwakyembe.
Alisema tuzo hiyo za kwanza kubwa hapa nchini kufanyiwa, iliyojikita katika kuibua na kuendeleza tasnia ya sanaa ya maigizo na filamu shiriki kutoka Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
“ Filamu hizo kutoka nchini , zinazowania na kuondoka na Tuzo, pesa taslimu, kutakuwa utambulisho maalum na wakipekee kwenye soko la filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara " alisema Fatuma.
Alisema katika tuzo hiyo kutakuwa na filamu bora, mwandishi bora wa filamu na msainii bora wa kike na kiume.
“Tuzo hizo ni tofauti kabisa na zingine kwani mbali na mshindi kuchukuwa tuzo pia washindi watapewa fedha, thamani ya zawadi ni million 4," alisema.
Fatuma alisema mbali na Tuzo hizo lakini pia Aliyah atazindua Channel ya Sinema zetu ambayo kwa sasa imeboreshwa na kuwa na muonekano mpya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2pVa15i
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms