Mshambuliaji wa Bayern Munich, Thomas Muller akimtandika teke Nicolas Tagliafico wa Ajax usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya timu hizo zikitoka sare ya 3-3.
Refa Mfaransa, Clement Turpin alimtoa Muller kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa rafu hiyo dakika ya 75 na mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Robert Lewandowski mawili dakika za 13 na 87 kwa penalti na Kingsley Coman dakika ya 90, wakati ya Ajax yalifungwa na Dusan Tadic mawili dakika za 61 na 82 kwa penalti Nicolas Tagliafico dakika ya 90 na ushei.
Bayern Munich imemaliza kileleni mwa Kundi E kwa pointi zake 14, ikifuatiwa na Ajax pointi 12 na zote zinazonga mbele hatua ya 16 Bora zikizipiku Benfica iliyomaliza na pointi saba na AEK Athens iliyomaliza bila pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2RUWhU9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms