Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TANZANIA imepangwa Kundi B pamoja na Kenya, Ethiopia na Zanzibar katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge U20) inayotarajiwa kuanza Septemba 21 hadi Oktoba 5 mjini Kampala, Uganda.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika mkutano uliofanyika hoteli ya Imperial Royale mjini Kampala, Uganda Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye amesema kwamba Kundi A litakuwa na wenyeji, Uganda, Sudan, Eritrea na Djibouti.
Musonye amesema Kundi litazikutanisha timu za Burundi, Sudan Kusini Somali – maana yake nchi wanachama wa CECAFA watakaokosekana kwenye michuano hii ni Rwanda pekee.
Wachezaji wa Ngorongoro Heroes wakiwa mazoezini kujiandaa na michuano ya CECAFA Challenge U20
Ngorongoro Heroes inayofundishwa na kocha Zubery Katwila itafungua dimba na Ethiopia Septemba 22, kabla ya kumenyana na Kenya Septemba 24 na kumaliza mechi zake za Kundi B kwa kupambana na ndugu zao, Zanzibar Septemba 26.
Hatua ya Robo Fainali itafuatia Septemba 29, Nusu Fainali Okatoba 2 na Fainali ya michuano ya CECAFA Challenge U20 mwaka 2019 itapigwa Oktoba 5.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/31nkqrb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms