MABINGWA wa Angola, Petro de Luanda wamekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuitoa timu ya Mamlaka ya Jiji la Kampala (KCCA).
Petro de Luanda wamefuzu kwa faida ya mabao ya ugeninibaada ya sare ya 1-1 na KCCA leo Uwanja wa Lugogo mjin Kampala.
Na hiyo ni baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza mjini Luanda wiki mbili zilizopita.
Katika mchezo wa leo, Petro de Luanda walitangulia kwa bao la Ricardo Estevao dakika ya 34 kwa penalti iliyotolewa baada ya kipa wa KCCA, Charles Lukwago kumchezea rafu, Isaac Mensah ndani ya boksi.
Pamoja na hayo, KCCA ikapambana na kipindi cha pili na kufanikiwa kusawazisha kupitia kwa Mustafa Kizza aliyemalizia kazi nzuri ya Sadat Anaku dakika ya 57.
Sasa KCCA watamenyana na moja ya timu zilizovuka Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho kuwania kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2niZ1Ac
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PETRO DE LUANDA YA KWANZA KUTINGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/09/petro-de-luanda-ya-kwanza-kutinga.html. Terimakasih atas perhatiannya.