• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ▼  September (394)
      • Durban left buzzing after inaugural Kingsmead Fest...
      • Rugby World Cup | South Africa vs Italy Preview
      • AUBAMEYANG AFUNGIA LA KUSAWAZISHA ARSENAL YATOA SA...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA HAMZA MANENO
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA PETER NKWERA
      • MECHI YA YANGA SC NA POLISI LIGI KUU YASOGEZWA MBE...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 1 October 2019
      • R5 Bet Strikes Lucky for Regular Punter!
      • Kinross Technician R4 Bet Strikes Lucky!
      • International Racing: Sha Tin Best Bets Tuesday 1 ...
      • Midweek Racing: Boks Back - All on Track!
      • Rhulani calls for VAR
      • TIMU TISA ZILIZOWAHI KUTWAA TAJI ZAFUZU HATUA YA M...
      • Weekend Soccer Results - 27 - 29 September 2019
      • MALINDI YAUNGANA NA AZAM, SIMBA, KMC NA KMKM KUAGA...
      • Fairview Best Bets Monday 30 September 2019
      • UK Racing Tips - Monday 30 September 2019
      • BIASHARA UNITED 0-2 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • Rugby World Cup 2019 - Results
      • TANZANIA BARA YAIPIGA UGANDA 4-2, KUIVAA TENA KENY...
      • ZESCO UNITED 2-1 YANGA SC (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
      • KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA B...
      • Second ODI: Pakistan vs Sri Lanka
      • SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMOUD NA LWIZA KIR...
      • UK Racing Best Bets - Sunday 29 September
      • Rugby World Cup: Midweek Games (30th Sept - 3rd Oct)
      • LUIS SUAREZ AFUNGA BARCELONA YAICHAPA GETAFE 2-0 L...
      • MAHREZ, JESUS NA STERLING WAFUNGA MAN CTY YAIPIGA ...
      • SAMATTA APAMBANA HADI MWISHO KRC GENK YAPOKONYWA U...
      • RONALDO AFUNGA LA PLI JUVENTUS YAICHAPA SPAL 2-0 S...
      • CHELSEA YANG'ARA DARAJANI, YAICHAPA BRIGHTON & HOV...
      • LIVERPOOL YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND, YAI...
      • ALLIANCE FC YAZINDUKA NA KUWACHAPA SINGIDA UNITED ...
      • TRIANGLE UNITED YAIGONGA 1-0 TENA AZAM FC NA KUITU...
      • ZESCO UNITED YAIHAMISHIA YANGA SC KOMBE LA SHIRIKI...
      • SIMBA SC WALIVYOJIFUA JANA MWANZA KUJIANDA NA MECH...
      • BOSI WA AZAM TV, TIDO MHANDO ALIVYOWAKABIDHI VYETI...
      • YANGA SC WAKIJIFUA KUPINDUA MEZA LEO DHIDI YA ZESC...
      • MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KABLA YA KUWAVAA TRIANGL...
      • F1 2019: Russian Grand Prix Preview
      • Rugby World Cup: Australia v Wales Preview
      • PETRO DE LUANDA YA KWANZA KUTINGA MAKUNDI LIGI YA ...
      • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
      • Rugby World Cup: South Africa v Namibia Preview
      • Rugby World Cup 2019 - Phaka Predictions - Round 2
      • Predict and Win: Kazang Promotional Terms and Cond...
      • UEFA Champions League: Matchday Two Preview
      • Rugby World Cup: Week 2 Preview (28 - 29 September)
      • KAGERA SUGAR 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • TANZANIA BARA KUIVAA UGANDA ROBO FAINALI CHALLENGE...
      • #GDogInJapan - East Coast Radio Rugby World Cup Up...
      • Hollywoodbets Extends Horse Racing Sponsorship wit...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • UK Racing Tips - Friday 27 September 2019
      • I'm ready to coach in the PSL: Mendu
      • PRO14 2019/20: Round 1 Preview
      • Phehlukwayo to fill crucial role for Durban Heat
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Sunday 29 Sept...
      • Introducing SEVEN new Betgames Products
      • Boks & Jocks – Another Big One!
      • Turffontein Best Bets Saturday 28 September 2019
      • Durbanville Saturday - 28 September 2019 Best Bets
      • EPL: Manchester United vs Arsenal Preview
      • Fairview Best Bets Friday 27 September 2019
      • Carabao Cup Fourth Round Draw
      • International Racing: Kranji Best Bets – Friday 27...
      • VINICIUS JR AANGUA KILIO BAADA YA KUFUNGA BAO LA K...
      • NI CHELSEA NA MAN UNITED, LIVERPOOL NA ARSENAL RAU...
      • MAN UNITED YASONGA MBELE KWA USHINDI WA MATUTA CAR...
      • LIVERPOOL YAICHAPA MILTON KEYNES DONS 2-0 CARABAO CUP
      • BATSHUAYI APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 7-1 KOMBE L...
      • NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BIN...
      • MTIBWA SUGAR YAENDELEZA UNYONGE LIGI KUU, YAPIGWA ...
      • UK Racing Tips - Thursday 26 September 2019
      • Vaal Best Bets Thursday 26 September 2019
      • PGA Tour: Safeway Open Preview
      • European Tour: Alfred Dunhill Links Championship
      • Gauteng Summer Cup 2019 - Ante-Post Betting
      • PSL: Week Seven Preview
      • English Premier League: Week Seven Preview
      • KZN Inland fall to Easterns in thrilling T20 Cup f...
      • MAN CITY YAICHAPA PRESTON NORTH END 3-0 CARABAO CUP
      • Rugby World Cup | Wholesale changes for Boks again...
      • MARTINELLI APIGA MBILI ARSERNAL YAICHAPA NOTTINGHA...
      • Stand A Chance To Win 1 of 5 R250 betting vouchers...
      • Opinion: The Proteas pathway to success in India
      • MESSI AUMIA TENA, LAKINI BARCELONA YAICHAPA 2-1 VI...
      • First ODI: Pakistan vs Sri Lanka
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday 25 S...
      • Mitre 10 Cup: Round 8 Preview
      • TANZANIA BARA YATOA SARE 2-2 NA KENYA MICHUANO YA ...
      • International Racing: Happy Valley – Wednesday 25t...
      • MESSI AWABWAGA VAN DIJK NA RONALDO TUZO YA MWANASO...
      • 2019 WTA Tour: Wuhan Open Selected Round of 32 Pre...
      • Rugby World Cup | Mid-Week Fixtures 24th-26th Sept...
      • ATP Tour: Zhuhai Open Preview
      • Rugby World Cup News: Week 9
      • Inland charge into T20 Cup final
      • 5 Talking Points - New Zealand vs South Africa | R...
      • Folau set for rugby league return with Tonga
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA

KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA

Na Mwandishi Wetu, MUSOMA
MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyej, Biashara United 2-0 jioni ya leo Uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.
Ushindi huo uliotokana na mabao ya washambuliaji wake hatari, Mnyarwanda Meddie Kagere na mzawa, Miraj Athumani ‘Madenge’ unaifanya Simba SC inayofundishwa na Mbelgiji, Patrick Aussems ifikishe pointi 12 baada ya kushinda mechi zake zote nne za mwanzo, mbili ugenini.
Kagere aliye katika msimu wake wa pili Msimbazi tangu awasili kutoka Gor Mahia ya Kenya alifunga bao lake la kwanza dakika ya 22 akimalizia kwa shuri la chini kros ya Miraji Madenge kutoka upande wa kulia.

Miraj Athumani anayefahamika pia kama Shevchenko ambaye amerejeshwa Msimbaz msimu huu baada ya kuachwa miaka minne iliyopita alifunga bao lake dakika ya 53 kwa kchwa akimalizia mpira wa adhabu wa Ibrahim Ajibu.
Kikosi cha Biashara United kilikuwa; Daniel Mgoke, Innocent Edwin, Victor Hangaya/Lambaka Jerome dk50, Mpapi Salum, Justine Bilal, Juma Mpakala, Ally Kombo/Ramadhani Chombo ‘Redondo’ dk74, Derick Mussa, Yassir Duku, Lenny Kissu na Abdulmajid Mangaro.
Simba SC; Aishi Manula, Haruna Shamte, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Kennedy Juma, Pascal Wawa, Said Ndemla, Hassan Dilunga, Muzamil Yassin, Meddie Kagere, Ibrahim Ajibu/Sharaf Eldn Shiboub dk76 na Miraj Athumani ‘Madenge’/Deo Kanda dk80. 
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, bao pekee la Hassan Materema dakika ya 49 limeipa ushindi wa ugenini JKT Tanzana 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja wa Kataba mjini Bukoba.
Nao Mtibwa Sugar wakafikisha mechi tano za kucheza bila ushindi kufuatia sare ya 1-1 na Mbeya City jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri. Mtibwa walitangulia kwa bao la kungo mkongwe, Abdulhalim Humud dakika ya 23, kabla ya Peter Mapunda kuisawazisha MCC dakika ya 43.
Na bao la dakika ya 52 la Salum Chubi likainusuru Ndanda SC kuzama mbele ya KMC iliyotangulia kwa bao la Ally Ramadhan dakika ya tisa, timu hizo zikitoka sare ya 1-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Na Lipuli FC ikalazimishwa sare ya 2-2 na Tanzania Prisons Uwanja wa Samora mjini Iringa, mabao yake yakifungwa na David Kameta dakika ya 18 kwa penalti na Paul Materaz dakika ya 45, wakati ya wageni yamefungwa na Hamidu Daudi dakika ya sita na Cleophas Mkandala dakika ya 83.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2mCMo3f best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/09/kagere-aendeleza-moto-wa-mabao-simba-sc.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.21
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maend...
  • YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
    YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2dy3pqT
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
Copyright Viral Sports: KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA