Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya taifa ya vijana ya kuogelea imeondoka nchini kwenda Tunisia kushiriki katika mashindano ya Afrika ya kuogelea.
Timu hiyo inajumuisha jumla ya waogeleaji wanne ambao ni Yuki Omori anayetokea klabu ya Mis Piranhas ya mkoa wa Morogoro, Khaleed Ladha (Mwanza), Aaron Akwenda (Bluefins) na Mohameduwais Abdullatif wa klabu ya Taliss-IST.
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA), Asmah Hilal alisema kuwa waogeleaji wapo tayari kuiwakilisha nchi.
Makamu Mwenyekiti wa chama cha kuogelea Tanzania (TSA), Asmah Hilal (kushoto) akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya vijana Mohameduwais Abdullatif
Katika mashindano hayo ambayo yatajumuisha waogeleaji zaidi ya 1000 kutoka bara la Afrika.
Alisema kuwa waogeleaji hao wamechaguliwa baada ya kufikia vigezo vya mashindano.
Hilal alisema kuwa timu hiyo itakuwa chini ya mkuu wa msafara, Amina Mfaume ambaye ni mkurugenzi wa ufundi wa TSA na kocha mkuu Samwel Mtupo kutoka klabu ya Mwanza.
“Tunatarajia kupata matokeo mazuri katika mashindano hayo pamoja na ugumu wake. Watanzania zaidi ya milioni 50 wanatarajia kuona mnarejea kishujaa,” alisema Hilal.
Kocha wa timu hiyo, Mtupo alisema kuwa wanajua ushindani katika mashindano hayo na kufanya maandalizi kwa lengo la kufanya vyema.
“Tumejiandaa kwa ajili ya kushindana na tunaamini tutafanya vyema. Naamini waogeleaji waliochaguliwa ambao wana ubora wa hali ya juu, tutajitahidi kuiwakilisha nchi vizuri,” alisema Mtupo.
Nahodha wa timu hiyo, Mohameduwais Abdullatif alisema kuwa wamejiandaa kwa ajili ya kushinda na siyo vinginevyo.
“Tumefanya maandalizi kwa muda mrefu kwa lengo la kuleta matokeo ambayo Watanzania watayafuraia, ” alisema Abdulatif.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2N7kPdU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms