• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ▼  November (367)
      • UK Racing Best Bets - Sunday 1 December 2019
      • 30 Days of Giveaways with Hollywoodbets and Game: ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AZIZ HUNTER, MCHEZ...
      • REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUIC...
      • MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCAS...
      • CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE ...
      • DELE ALLI APIGA MBILI TOTTENHAM YAILAZA 3-2 BOURNE...
      • VAN DIJK APIGA MBILI LIVERPOOL PUNGUFU YAICHAPA BR...
      • Gauteng Summer Cup 2019 Winner: ZILLZAAL
      • SIMBA SC YAACHANA NA AUSSEMS, KITAMBI APEWA TIMU H...
      • KOCHA JUMA MWAMBUSI ABWAGA MANYANGA MBEYA CITY, MO...
      • HASSAN MWAKINYO AMSHINDA KWA POINTI MFILIPINO, KID...
      • R2 Million Pick 6 Pool at Hollywoodbets Greyville
      • ALLIANCE FC 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • PAMBANO LA HASSAN MWAKINYO NA ARNIEL TINAMPAY
      • International Racing: Sha Tin (Turf / All Weather)...
      • Rhino Promotion: Terms and Conditions
      • UK Racing Best Bets - Saturday 30 November 2019
      • YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • International Racing: Kranji (Poly) – Sunday 1st D...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Sunday 01 Dece...
      • MANULA ATEULIWA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS PAMOJ...
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 30 November 2019
      • Betgames Africa Poker Promotion: Terms and Conditions
      • Turffontein Best Bets Saturday 30 November 2019
      • MAN UNITED NAO WALICHEZEA 2-1 KWA ASTANA EUROPA LE...
      • KAMADA AWAPIGA MBILI ARSENAL PALE PALE EMIRATES, W...
      • Jimmy The Rich: Summer Cup Best Bets
      • UK Racing Best Bets & Tips - Friday 29 November 2019
      • 🚨 Black Friday: 20% Deposit Bonus - 12:00-14:00 🚨
      • Italian Serie A: Week 14 Preview
      • International Racing: Kranji (Poly / Turf) – Frida...
      • International Rugby: Barbarians v Wales Preview
      • Gallagher Premiership: Round 5 Preview
      • English Premier League: Gameweek 14 Preview
      • CSA's Director of cricket: The able aren't willing...
      • PRO14: Round 7 Preview
      • LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MAB...
      • DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Friday 29 Nove...
      • Fairview Best Bets - Friday 29 November 2019
      • CHELSEA YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA VALENCIA MESTALLA
      • MESSI, SUAREZ NA GRIEZMANN WOTE WAFUNGA BARCELONA ...
      • SAMATTA AFUNGA BAO LA TATU LIGI YA MABINGWA ULAYA ...
      • UK Racing Tips - Thursday 28 November 2019
      • German Bundesliga: Gameweek 13 Preview
      • Spanish La Liga: Atletico Madrid vs Barcelona Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek 15 Preview
      • European Tour: Sunshine Tour Preview
      • ZLATAN AJIUNGA NA TIMU YA KWAO SWEDEN BAADA YA KUT...
      • Happy Start to Upcoming Holiday!
      • Vaal Best Bets Thursday 27 November 2019
      • DYBALA APIGA BAO PEKEE JUVENTUS YAICHAPA ATLETICO ...
      • BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REA...
      • MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SAR...
      • TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA OLYMPIAKOS 4-2
      • LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 U...
      • AZAM FC YATOA ONYO LIGI KUU, YAWACHAPA ALLIANCE 5-...
      • Hollywoodbets Sizzling Summer Challenge
      • International Racing: Happy Valley (Turf) – Wednes...
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 27 November 2019
      • Second Test: Australia vs Pakistan Preview
      • Second Test: New Zealand vs England Preview
      • Durban Heat offering exciting Black Friday ticket ...
      • TANZANIA BARA 0-2 KENYA (CECAFA CHALLENGE WANAWAKE))
      • Kenilworth Best Bets - Wednesday 27 November 2019
      • BILIONEA WA SIMBA SC, MO DEWJI AKUTANA NA GWIJI WA...
      • YANGA SC YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO MWENYEKI...
      • KENYA WATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE BAADA YA KU...
      • PRISONS YAICHAPA SINGIDA UNITED 1-0, NDANDA WAFA T...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 26 November 2019
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AMAAN RASHID, MCHE...
      • Hollywoodbets: Black Friday Build-Up Promotion - T...
      • UK Racing Tips - Monday 25 November 2019
      • Vaal Best Bets Thursday 25 November 2019
      • Flamingo Park Best Bets Monday 25 November 2019
      • MAN UNITED WAPOKONYWA USHINDI DAKIKA YA MWISHO, SA...
      • SAMATTA AINGIA ’30 BORA’ TUZO YA MWANASOKA BORA, W...
      • STARS YAPANGWA KUNDI C KOMBE LA CHALLENGE NA MABIN...
      • SIMBA SC YATOA WACHEZAJI WAWILI KUWANIA TUZO YA MC...
      • YANGA SC WALIPOLAZIMIKA KUVAA JEZI ZA TAIFA STARS ...
      • RUVU SHOOTING 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • TANZANIA BARA 1-0 UGANDA (CECAFA CHALLENGE WANAWAKE)
      • SAMATTA ATOLEWA KRC GENK IKILAZIMISHA SARE YA 2-2 ...
      • MODRIC AFUNGA MOJA, ASETI MAWILI REAL MADRID YAICH...
      • WILDER ATUMIA RAUNDI SABA TU KUMKALISHA ORTIZ KWA ...
      • UK Racing Best Bets - Sunday 24 November 2019
      • VIDAL ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA LA USHINDI BARCELONA...
      • LACAZETTE AISAWAZISHIA ARSENAL DAKIKA YA MWISHO YA...
      • MAHREZ APIGA LA USHINDI MANCHESTER CITY YAICHAPA C...
      • LIVERPOOL HAIKAMATIKI, YAICHAPA 2-1 CRYSTAL PALACE...
      • MOURINHO AANZA VYEMA SPURS YASHINDA 3-2 UGENINI DH...
      • NI KILIMANJARO QUEENS NA KENYA FAINALI CECAFA CHAL...
      • AZAM FC YAICHAPA MBAO 1-0 KIRUMBA, SINGIDA UNITED ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA BAKARI MAHADHI
      • MIRAJ ATHUMANI ‘MADENGE’ APIGA MBILI SIMBA SC YAIT...
      • YANGA SC 3-2 JKT TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
      • MISRI WABEBA TAJI LA AFCON U-23 BAADA YA KUIPIGA I...
      • YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • WACHEZAJI WA KILIMANJARO QUEENS WAZAWADIWA TAULO Z...
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » AISHI MANULA: MIAKA MIWILI MECHI 100 SIMBA SC NA ‘CLEAN SHEETS’ 59

AISHI MANULA: MIAKA MIWILI MECHI 100 SIMBA SC NA ‘CLEAN SHEETS’ 59

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
JUMATANO wiki hii mabingwa watetezi, Simba SC walipunguzwa kasi baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. 
Kiboko ya Simba SC siku hiyo alikuwa ni mshambuliaji Gerald Mathias Mdamu aliyeifungia Mwadui FC bao hilo pekee la ushindi kwa kichwa dakika ya 32 akimalizia krosi ya Mussa Nampaka.
Hicho kinakuwa kipigo cha kwanza msimu huu kwa mabingwa hao watetezi katika mcheezo wa sita kikosi cha kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kikitoka kushinda mechi zote tano za mwanzo.
Pamoja na kuruhusu bao hilo moja, kipa Aishi Salum Manula akiidakia Simba SC mechi ya 100 tangu ajiunge nayo kutoka Azam FC Juni mwaka 2017 aliokoa michomo mingine mingi ya hatari. 
Hapana shaka mechi 100 ndani ya miaka miwili ni kielelezo tosha cha namna Aishi, ambaye pia ni kipa bora wa Ligi Kuu mara tatu mfululizo anavyotumika Simba SC akiwa chachu ya mafanikio ya timu katika misimu hii miwili.
Mbele na nyuma, kushoto na kulia ni Aishi peke yake – huyo ndiye kipa bora wa Ligi Kuu na nchi kwa ujumla, haijalishi kwa sasa anafungiwa vioo na kocha Mrundi wa timu ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije. 
Uhodari wake ndiyo umeirejesha Simba SC katika ramani ya soka Afrika baada ya msimu uliopita kuiwezesha kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na kuivusha hadi Robo Fainali ambako ilitolewa na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Katika mechi zote 100 alizodaka hadi sasa Aishi amesimama langoni mara 59 bila kuruhusu bao Simba SC na kwa ujumla amefungwa mabao 60, akiiongoza timu kushinda mechi 67, kufungwa 13 na sare 20.
Akiwa ametoka kutimiza umri wa miaka 24 Septemba 13, mwaka huu, Aishi tayari ameingia kwenye orodha ya makipa bora kuwahi kutokea siyo tu katika klabu yake, Simba bali hata na nchini kwa ujumla na sasa anawania kuweka rekodi zaidi ili kudhihirisha ubora wake. 
Huyo ndiye kipa aliyeiwezesha Taifa Stars kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Juni mwaka huu nchini Misri. Kila la heri Aishi Salum Manula katika safari yako kisoka.

REKODI YA AISHI MANULA SIMBA
Simba 1-0 Rayon Sport (Hakufungwa Kirafiki Simba Day Taifa)
Simba 0-0 Mlandege FC  (Hakufungwa Kirafiki Amaan, Zbar)
Simba 0-0 (5-4 penalti) Yanga (Hakufungwa Ngao ya Jamii, Taifa Penalti)
Simba 7-0 Ruvu Shooting (Hakufungwa Ligi Kuu Uhuru)
Simba 0-0 Azam FC (Hakufungwa Ligi Kuu Chamazi)
Simba 3-0 Mwadui (Hakufungwa Ligi Kuu Uhuru)
Simba 2-2 Mbao FC (Alifungwa mbili Ligi Kuu Kirumba, Mwanza)
Simba 0-0 Milambo (Aliingia, hakufungwa Kirafiki A. Mwinyi, Tabora)
Simba 2-1 Stand United (Alifungwa moja Ligi Kuu Shinyanga)
Simba 1-1 Mtibwa Sugar (Alifungwa moja Ligi Kuu Uhuru)
Simba 4-0 Njombe Mji (Hakufungwa Ligi Kuu Uhuru)
Simba 1-1 Yanga (Alifungwa moja Ligi Kuu Uhuru)
Simba 1-0 Mbeya City (Hakufungwa Ligi Kuu Sokoine)
Simba 1-0 Tanzania Prisons (Hakufungwa Ligi Kuu Sokoine)
Simba 1-1 Lipuli FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Uhuru)
Simba 1-1 (Penalti 3-4) Green Warriors (Alifungwa moja na penalti nne Kombe la TFF Chamazi)
Simba 2-0 Ndanda FC (Hakufungwa Ligi Kuu Nangwanda)
Simba 4-0 Singida United  (Hakufungwa Ligi Kuu Uhuru)
Simba 2-0 Kagera Sugar  (Hakufungwa Ligi Kuu Kaitaba)
Simba 4-0 Maji Maji FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba 3-0 Ruvu Shooting FC (Hakufungwa Ligi Kuu Uhuru)
Simba 1-0 Azam FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba 4-0 Gendarmerie Tnare  (Hakufungwa, Kombe la Shirikiaho Kuu Taifa)
Simba 2-2 Mwadui FC (Alifungwa mbili Ligi Kuu Kambarage)
Simba 1-0 Gendarmerie Tnare  (Hakufungwa – Kombe la Shirikisho Djibouti)
Simba 5-0 Mbao FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba 3-3 Stand United (Alifungwa zote tatu Ligi Kuu Taifa)
Simba 2-2 Al Masry  (Alifungwa mbili moja kwa penalti Kombe la Shirikisho Taifa)
Simba 0-0 Al Masry  (Hakufungwa Kombe la Shirikisho Port Said)
Simba 2-0 Njombe Mji FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa Njombe)
Simba SC 1-0 Mtibwa Sugar (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa) 
Simba 3-1 Mbeya City  (Alifungwa moja Ligi Kuu Taifa)
Simba 2-0 Tanzania Prisons  (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba 1-1 Lipuli FC  (Alifungwa moja, Ligi Kuu Samora)
Simba 1-0 Yanga SC (Hakufungwa, Ligi Kuu Taifa)
Simba 1-0 Ndanda FC  (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba 1-0 Singida United  (Hakufungwa Ligi Kuu Namfua)
Simba 0-0 (3-2 Penalti) Kariobangi Sharks  (Hakufungwa, akaokoa penalty moja SportPesa SuperCup Nakuru)
Simba 0-0 (5-4 Penalti) Kakamega Homeboys (Hakufungwa SportPesa SuperCup Nakuru)
Simba 0-2 Gor Mahia (Alifungwa mbili SportPesa SuperCup Nakuru)
Simba SC 1-1 F.C.E KSAIFA ya Palestina (Hakufungwa kirafiki ziara ya Uturuki)
Simba SC 3-1 MC Oujder ya Morocco (Hakufungwa Kirafiki ziara ya Uturuki)
Simba SC 1-1 Asante Kotoko ya Ghana (Alifungwa moja Kirafiki Simba Day Taifa)
Simba SC 2-1 Arusha United (Alifungwa moja Kirafiki Uwanja wa S.A. Abeid, Arusha)
Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar (Alifungwa moja Ngao ya Jamii Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza)
Simba SC 1-0 Tanzania Prisons (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 2-0 Mbeya City (Hakufungwa, Ligi Kuu Taifa alitoka baada ya kuumia dk53 akaingia Abdul Salim)
Simba SC 0-0 Ndanda FC (Hakufungwa Ligi Kuu Mtwara)
Simba SC 0-1 Mbao FC (Alifungwa moja kwa penalti Ligi Kuu Mwanza)
Simba SC 3-1 Mwadui FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Shinyanga)
Simba SC 0-0 Yanga SC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 2-1 African Lyon (Alifungwa moja Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 3-0 Stand United (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 5-1 Alliance FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 5-0 Ruvu Shooting FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 2-0 JKT Tanzania (Hakufungwa Ligi Kuu Mkwakwani)
Simba SC 0-0 Lipuli FC (Hakufungwa Ligi Kuu Uwanja wa Taifa)
Simba SC 4-1 Mbabane Swallows (Alifungwa moja Ligi ya Mabingwa Afrika Taifa)
Simba SC 4-0 Mbabane Swallows (Hakufungwa Ligi ya Mabingwa Afrika Manzini)
Simba SC 1-2 Nkana FC (Alifungwa mbili Ligi ya Mabingwa Afrika Kitwe) 
Simba SC 3-1 Nkana FC (Alifungwa moja Ligi ya Mabingwa Afrika Taifa)
Simba SC 3-0 Singida United (Hakufungwa Ligi Kuu Uwanja wa Taifa)
Simba SC 1-0 KMKM (Hakufungwa Kombe la Mapinduzi, Zanzibar)
Simba SC 3-0 JS Saoura (Hakufungwa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Taifa)
Simba SC 0-5 AS Vita (Alifungwa tano Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Kinshasa) 
Simba SC 2-1 AFC Leopards (Alifungwa moja SportPesa Super Cup Taifa)
Simba SC 1-2 Bandari FC (Alifungwa mbili SportPesa Super Cup Taifa)
Simba SC 0-5 Al Ahly (Alifungwa tano Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Cairo)
Simba SC 3-0 Mwadui FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 1-0 Al Ahly (Hakufungwa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Dar) 
Simba SC 1-0 Simba SC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 3-0 African Lyon (Hakufungwa Ligi Kuu Sheikh Amri Abeid)
Simba SC 3-1 Azam FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Taifa) 
Simba SC 3-1 Lipuli FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Samora)
Simba SC 2-0 Stand United (Hakufungwa Ligi Kuu Kambarage)
Simba SC 0-2 JS Saoura (Alifungwa mbili Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Bechar) 
Simba SC 2-1 AS Vita (Alifungwa moja Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika Dar) 
Simba SC 0-0 TP Mazembe (Hakufungwa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Dar)
Simba SC 1-4 TP Mazembe (Alifungwa nne Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Lubumbashi)
Simba SC 2-1 Coastal Union (Alifungwa moja Ligi Kuu Mkwakwani, Tanga)
Simba SC 1-2 Kagera Sugar (Alifungwa moja, Ligi Kuu Kaitaba, Bukoba) 
Simba SC 2-0 Alliance FC (Hakufungwa Ligi Kuu Kirumba, Mwanza) 
Simba SC 2-1 KMC (Alifungwa moja Ligi Kuu Kirumba, Mwanza)
Simba SC 1-0 Tanzania Prisons (Hakufungwa Ligi Kuu, Sokoine)
Simba SC 8-1 Coastal Union (Alifungwa moja Ligi Kuu, Uhuru)
Simba SC 0-1 Kagera Sugar (Alifungwa moja Ligi Kuu, Uhuru)
Simba SC 0-0 Azam FC (Hakufungwa Ligi Kuu, Uhuru)
Simba SC 3-0 Mtibwa Sugar (Hakufungwa Ligi Kuu, Uhuru)
Simba SC 2-0 Ndanda FC (Hakufungwa Ligi Kuu, Uhuru)
Simba SC 4-5 Sevilla (Alifungwa moja akampisha Deo Munishi dk46 akafungwa nne Kirafiki Taifa)
Simba SC 4-0 Orbit Tvet (Hakufungwa, alimpisha Benno Rusternburg)  
Simba SC 1-1 UD Songo (Alifungwa moja Ligi ya Mabingwa Taifa)
Simba SC 3-1 JKT Tanzania (Alifungwa moja Ligi Kuu Uhuru)
Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar (Alifungwa moja Ligi Kuu Uhuru)
Simba SC 3-0 Kagera Sugar (Hakufungwa Ligi Kuu Kaitaba)
Simba SC 2-0 Biashara United (Hakufungwa Ligi Kuu Musoma)
Simba SC 1-0 Mashujaa FC (Hakufungwa Kirafiki Kigoma)
Simba SC 1-0 Azam FC (Hakufungwa Ligi Kuu Taifa)
Simba SC 1-0 Singida United (Hakufungwa Ligi Kuu Arusha)
Simba SC 0-1 Mwadui FC (Alifungwa moja Ligi Kuu Shinyanga) 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32cEc8k best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AISHI MANULA: MIAKA MIWILI MECHI 100 SIMBA SC NA ‘CLEAN SHEETS’ 59. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/11/aishi-manula-miaka-miwili-mechi-100.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 01.05
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
Copyright Viral Sports: AISHI MANULA: MIAKA MIWILI MECHI 100 SIMBA SC NA ‘CLEAN SHEETS’ 59