• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ▼  November (367)
      • UK Racing Best Bets - Sunday 1 December 2019
      • 30 Days of Giveaways with Hollywoodbets and Game: ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AZIZ HUNTER, MCHEZ...
      • REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUIC...
      • MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCAS...
      • CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE ...
      • DELE ALLI APIGA MBILI TOTTENHAM YAILAZA 3-2 BOURNE...
      • VAN DIJK APIGA MBILI LIVERPOOL PUNGUFU YAICHAPA BR...
      • Gauteng Summer Cup 2019 Winner: ZILLZAAL
      • SIMBA SC YAACHANA NA AUSSEMS, KITAMBI APEWA TIMU H...
      • KOCHA JUMA MWAMBUSI ABWAGA MANYANGA MBEYA CITY, MO...
      • HASSAN MWAKINYO AMSHINDA KWA POINTI MFILIPINO, KID...
      • R2 Million Pick 6 Pool at Hollywoodbets Greyville
      • ALLIANCE FC 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • PAMBANO LA HASSAN MWAKINYO NA ARNIEL TINAMPAY
      • International Racing: Sha Tin (Turf / All Weather)...
      • Rhino Promotion: Terms and Conditions
      • UK Racing Best Bets - Saturday 30 November 2019
      • YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • International Racing: Kranji (Poly) – Sunday 1st D...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Sunday 01 Dece...
      • MANULA ATEULIWA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS PAMOJ...
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 30 November 2019
      • Betgames Africa Poker Promotion: Terms and Conditions
      • Turffontein Best Bets Saturday 30 November 2019
      • MAN UNITED NAO WALICHEZEA 2-1 KWA ASTANA EUROPA LE...
      • KAMADA AWAPIGA MBILI ARSENAL PALE PALE EMIRATES, W...
      • Jimmy The Rich: Summer Cup Best Bets
      • UK Racing Best Bets & Tips - Friday 29 November 2019
      • 🚨 Black Friday: 20% Deposit Bonus - 12:00-14:00 🚨
      • Italian Serie A: Week 14 Preview
      • International Racing: Kranji (Poly / Turf) – Frida...
      • International Rugby: Barbarians v Wales Preview
      • Gallagher Premiership: Round 5 Preview
      • English Premier League: Gameweek 14 Preview
      • CSA's Director of cricket: The able aren't willing...
      • PRO14: Round 7 Preview
      • LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MAB...
      • DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Friday 29 Nove...
      • Fairview Best Bets - Friday 29 November 2019
      • CHELSEA YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA VALENCIA MESTALLA
      • MESSI, SUAREZ NA GRIEZMANN WOTE WAFUNGA BARCELONA ...
      • SAMATTA AFUNGA BAO LA TATU LIGI YA MABINGWA ULAYA ...
      • UK Racing Tips - Thursday 28 November 2019
      • German Bundesliga: Gameweek 13 Preview
      • Spanish La Liga: Atletico Madrid vs Barcelona Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek 15 Preview
      • European Tour: Sunshine Tour Preview
      • ZLATAN AJIUNGA NA TIMU YA KWAO SWEDEN BAADA YA KUT...
      • Happy Start to Upcoming Holiday!
      • Vaal Best Bets Thursday 27 November 2019
      • DYBALA APIGA BAO PEKEE JUVENTUS YAICHAPA ATLETICO ...
      • BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REA...
      • MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SAR...
      • TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA OLYMPIAKOS 4-2
      • LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 U...
      • AZAM FC YATOA ONYO LIGI KUU, YAWACHAPA ALLIANCE 5-...
      • Hollywoodbets Sizzling Summer Challenge
      • International Racing: Happy Valley (Turf) – Wednes...
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 27 November 2019
      • Second Test: Australia vs Pakistan Preview
      • Second Test: New Zealand vs England Preview
      • Durban Heat offering exciting Black Friday ticket ...
      • TANZANIA BARA 0-2 KENYA (CECAFA CHALLENGE WANAWAKE))
      • Kenilworth Best Bets - Wednesday 27 November 2019
      • BILIONEA WA SIMBA SC, MO DEWJI AKUTANA NA GWIJI WA...
      • YANGA SC YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO MWENYEKI...
      • KENYA WATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE BAADA YA KU...
      • PRISONS YAICHAPA SINGIDA UNITED 1-0, NDANDA WAFA T...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 26 November 2019
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AMAAN RASHID, MCHE...
      • Hollywoodbets: Black Friday Build-Up Promotion - T...
      • UK Racing Tips - Monday 25 November 2019
      • Vaal Best Bets Thursday 25 November 2019
      • Flamingo Park Best Bets Monday 25 November 2019
      • MAN UNITED WAPOKONYWA USHINDI DAKIKA YA MWISHO, SA...
      • SAMATTA AINGIA ’30 BORA’ TUZO YA MWANASOKA BORA, W...
      • STARS YAPANGWA KUNDI C KOMBE LA CHALLENGE NA MABIN...
      • SIMBA SC YATOA WACHEZAJI WAWILI KUWANIA TUZO YA MC...
      • YANGA SC WALIPOLAZIMIKA KUVAA JEZI ZA TAIFA STARS ...
      • RUVU SHOOTING 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • TANZANIA BARA 1-0 UGANDA (CECAFA CHALLENGE WANAWAKE)
      • SAMATTA ATOLEWA KRC GENK IKILAZIMISHA SARE YA 2-2 ...
      • MODRIC AFUNGA MOJA, ASETI MAWILI REAL MADRID YAICH...
      • WILDER ATUMIA RAUNDI SABA TU KUMKALISHA ORTIZ KWA ...
      • UK Racing Best Bets - Sunday 24 November 2019
      • VIDAL ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA LA USHINDI BARCELONA...
      • LACAZETTE AISAWAZISHIA ARSENAL DAKIKA YA MWISHO YA...
      • MAHREZ APIGA LA USHINDI MANCHESTER CITY YAICHAPA C...
      • LIVERPOOL HAIKAMATIKI, YAICHAPA 2-1 CRYSTAL PALACE...
      • MOURINHO AANZA VYEMA SPURS YASHINDA 3-2 UGENINI DH...
      • NI KILIMANJARO QUEENS NA KENYA FAINALI CECAFA CHAL...
      • AZAM FC YAICHAPA MBAO 1-0 KIRUMBA, SINGIDA UNITED ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA BAKARI MAHADHI
      • MIRAJ ATHUMANI ‘MADENGE’ APIGA MBILI SIMBA SC YAIT...
      • YANGA SC 3-2 JKT TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
      • MISRI WABEBA TAJI LA AFCON U-23 BAADA YA KUIPIGA I...
      • YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • WACHEZAJI WA KILIMANJARO QUEENS WAZAWADIWA TAULO Z...
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SIMBA SC YAMALIZIA HASIRA ZA KUCHAPWA NA MWADUI KWA KUITANDIKA MBEYA CITY 4-0 LEO DAR

SIMBA SC YAMALIZIA HASIRA ZA KUCHAPWA NA MWADUI KWA KUITANDIKA MBEYA CITY 4-0 LEO DAR

Na Asha Said, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi, Simba SC wamezinduka na kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Simba SC inafikisha pointi 21 baada ya ushindi huo kufuatia kucheza mechi nane, ikishinda saba na kufungwa moja, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake nane baada ya kucheza mechi tisa.
Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick Aussems ilipata bao lake la kwanza dakika ya nane kupitia kwa mshambuliaji wa kimataifa w Rwanda, Meddie Kagere aliyefunga kwa penalti baada ya Miraji Athumani ‘Madenge’ kuangushwa kwenye boksi.
Mzambia Clatous Chama akaifungia Simba SC bao la pili dakika ya 42 kwa shuti kali akiwa nje kidogo ya boksi baada ya kuwalamba chenga mabeki wa Mbeya City inayofundishwa na kocha mzalendo, Juma Mwambusi kufuatia pasi ya kiungo mwenzake, Muzamil Yassin.
Simba SC ilipata pigo dakika ya 60 baada ya beki wake na Nahodha Msaidizi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo, nafasi yake ikichukuliwa na Mbrazil Gerson Fraga ‘Viera.
Nyota wa Sudan, Sharaf Eldin Shiboub akaipatia Simba bao la tatu dakika ya 77 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu, kabla ya  kiungo mwenzao, Mkongo Deo Kanda kukamilisha shangwe za mabao za Wekundu wa Msimbazi kwa kufunga bao la nne dakika ya 86 akimalizia pasi ya Chama.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, Mbao FC wamepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Coastal Union ilitangulia kwa bao la Shaaban Hamisi dakika ya 16 kabla ya Mbao FC kusawazisha kupitia kwa Waziri Junior dakika ya 64 na kupata la ushindi kupitia kwa Said Junior dakika ya 82.
Bao pekee la Adili Bahu dakika ya 77 likawapa ushindi wa ugenini Tanzania Prisons dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania Uwanja wa Meja Isamuhyo, Mbweni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Na mabao ya Kassim Mdoe dakika ya 53 na Abdul Suleiman dakika ya 75 yaliipa ushindi wa 2-0 Ndanda FC dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Uwanja wa Ushirika mjini Moshi bao la kujifunga la Erick Mrilo dakika ya 59 liliipa ushindi wa 1-0 Polisi Tanzania dhidi ya Alliance FC ya Mwanza katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu leo.   
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’/Gerson Fraga dk60, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Muzamil Yassin, Clatous Chama, Sharaf Shiboub, Meddie Kagere, Ibrahim Ajibu/Deo Kanda dk79 na Miraji Athumani ‘Madenge’/ Francis Kahata dk46.
Mbeya City: Haroun Mandanda, Keneth Kinambi, Mpoki Mwakinyuki, Baraka Ngusa, Ally Lundenga, Samson Madeleke, Suleiman Mangoma, George Chota/Mohammed Mussa dk71, Peter Mapunda, Said Gamba na Richard Peter.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/36DXV4u best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YAMALIZIA HASIRA ZA KUCHAPWA NA MWADUI KWA KUITANDIKA MBEYA CITY 4-0 LEO DAR. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/11/simba-sc-yamalizia-hasira-za-kuchapwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 07.40
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
Copyright Viral Sports: SIMBA SC YAMALIZIA HASIRA ZA KUCHAPWA NA MWADUI KWA KUITANDIKA MBEYA CITY 4-0 LEO DAR