
VIGOGO, Simba SC wamejikatia tiketi ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya B19 usiku huu Uwanja wa Meja Jenerali Charles Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamefungwa na viungo, Mkongo-Brazzaville, Inno Jospin Loemba dakika ya 22 na Mzambia, Clatous Chotta Chama dakikia ya 77.
Mechi nyingine za Hatua ya 32 Bora Kombe la CRDB leo timu ya Namungo FC imefanikiwa kutinga 16 Bora baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Nyota wa mchezo huo ni kiungo, Jacob Raymond Massawe aliyefunga mabao matatu peke yake dakika ya 11, 28 na 45, huku bao lingine likifungwa na winga Hassan Salum Kabunda dakika ya 89 baada ya Kagera Sugar kutangulia na bao la Hamisi Adam dakika ya nane.
Nayo Pamba Jiji FC imesonga mbele kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Transit Camp ya Dar es Salaam jioni ya Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, wakati Geita Gold imeichapa Nyika ya Pwani 4-1 Uwanja wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu mjini Geita na Mashujaa FC imeitoa KegGold ya Mbeya kwa penalti 5-3 baada ya sare ya bila mabao ndani ya dakika 90 Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/972l5KI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms