
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Ali ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mwigulu Airtel mkoani Singida.
Pongezi kwa winga kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Elie Mpanzu Kibisawala aliyeifungia bao la ushindi Simba SC dakika ha 84 akimalizia pasi nzuri ya kiungo Mzambia, Clatous Chotta Chama.
Mpanzu alifunga bao hilo dakika tano tu tangu aingie kuchukua nafasi ya kiungo kutoka Kongo-Brazzaville, Inno Jospin Loemba.
Hadi mapumziko timu hizo zilikuwa zimefungana bao 1-1 winga wa kushoto, Muivory Coast, Alain Anicet Oura akianza kuifungia Simba dakika ya saba, kabla ya winga wa kulia, Mossi Nduwumwe kuisawazishia Singida Black Stars dakika ya 38.
Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya pili ilizidiwa pointi tano na mabingwa watetest, Yanga baada ya wote kucheza mechi 12, wakati Singida Black Stars inabaki na pointi zake 19 za mechi 13 sasa na kushuka kwa nafasi moja hadi ya 10.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/rPR5k7D
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MPANZU ATOKEA BENCHI SINGIDA NA KUIPA USHINDI SIMBA SC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/03/mpanzu-atokea-benchi-singida-na-kuipa.html. Terimakasih atas perhatiannya.