TIMU ya taifa ya Togo imefuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Djibouti usiku wa jana Uwanja wa Kegue mjini Lome.
Mabao ya The Sparrow Hawks yalifungwa na beki wa Yanga ya Tanzania Vincent Bossou, Mathieu Dossevi, Fo-Doh Laba na Komlan Agbegniadan mawili na Togo inamaliza nafasi ya pili kwenye Kundi A hivyo kufuzu Afcon ya kwanza tangu mwaka 2013, baada ya Tunisia iliyoifunga Liberia 4-1 na kumaliza kileleni.
Timu 16 kwa ujumla ambazo zitashiriki michuano hiyo mwakani Gabon mbali na wenyeji hao, nyingine ni Algeria, Burkina Faso, Cameroon, Ivory Coast, DRC, Misri, Ghana, Guinea Bissau, Mali, Morocco, Senegal, Togo, Tunisia, Uganda na Zimbabwe.
Uganda iliyomaliza nafasi ya pili Kundi D kwa pointi zake 13, na Togo, ya pili Kundi A kwa pointi zake 11 wamefuzu kama washindi wa pili bora.
Guinea-Bissau itakuwa nchi pekee inayoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza kabisa, wakati Senegal imekuwa timu pekee iliyoshinda mechi zote sita za kundi lake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2crZKbV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms