KOCHA Pep Guardiola amemmaliza Yaya Toure kwa kutomjumuisha kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya, kwa mujibu wa wakala wake.
Mkongwe huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33 hajaichezea City katika mechi yoyote ya Ligi Kuu ya England baada ya mechi tatu za awali chini ya kocha mpya, Guardiola.
Na pigo lingine kwa kiungo huyo wa zamani wa Barcelona aliyebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake Man City - atalazimika kukubali kutocheza mechi za Kundi Group C dhidi ya wapinzani Barcelona, Borussia Monchengladbach na Celtic.
Wakala wa Toure, Dimitri Seluk, amesema kwamba shinikizo lipo kwa Guardiola sasa kushinda taji la mashindano hayo - na hiyo itamuondoka Uwanja wa Etihad mteja wake baada ya msimu.
"Huu ni uamuzi wa Pep na lazima tuuheshimu. Ikiwa ataipa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya Man City msimu huu nitasafiri hadi England na kusema kwenye Televisheni kwamba Pep Guardiola ni kocha bora duniani,".
"Lakini ikiwa City haitoshinda Ligi ya Mabingwa natumai kwamba Pep atalazimika kukiri alikosea kumtema mchezaji mkubwa kama Yaya. Lakini nachoweza kukuambia ni kwamba Yaya atamaliza msimu City. Hataondoka January. Anatumai atapata nafasi ya kurudi kwenye kikosi,".
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2czv5e3
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms