Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amemuweka benchi beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali na kumuanziaha beki wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ upande wa kushoto katika mchezo dhidi ya Nigeria leo.
Tanzania, au Taifa Stars ni wageni wa Nigeria ‘Super Eagles’ jioni ya leo katika mchezo wa mwisho wa Kundi C kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Gabon mwakani.
Na Mkwasa amewaanzisha Aishi Manula, Shomary Kapombe, Tshabalala, Andrew Vincent ‘Dante’, David Mwantika, Himid Mao, Shiza Kichuya, Jonas Mkude, John Bocco, Mbwana Samatta na Simon Msuva.
|
Mwinyi Mngwali anaanzia benchi leo mbele ya Tshabalala |
Katika benchi wapo Said Kipao, Mwinyi Mngwali, Ibrahim Rajab ‘Jeba’, Muzamil Yassin, Ibrahim Hajib, Farid Mussa na Juma Mahadhi.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 10:00 jioni kwa saa za Nigeri na SAaa 1:00 kwa saa za Tanzania Uwanja wa Uyo, Akwa Ibom.
Taifa Stars na Super Eagles zote zimetupwa nje ya kinyang’anyiro cha tiketi ya Gabon mwakani, baada ya kuzidiwa kete na Misri waliofuzu kiulaini baada ya Chad kujitoa kwenye kundi hilo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2cmhDWB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms