Na Mwandishi Wetu, KAMPALA
KOCHA wa timu ya taifa ya Uganda, Milutin Sredojevic 'Micho' amemjumuisha beki wa Simba SC, Juuko Murshid katika kikosi chake kitakachocheza mechi mbili mwezi ujao, huku akimuacha Emmanuel Okwi anayecheza Denmark.
Micho, kocha wa zamani wa Yanga SC, leo amekutana na Waandishi wa Habari makao makuu ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), maarufu kama FUFA House eneo la Mengo, Kampala na kutaja kikosi kitakachomenyana na Togo katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kujiandaa na ya kufuzu Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Ghana.
Okwi hajaitwa kwenye kikosi cha Uganda kitakachocheza na Togo na Ghana mwezi ujao
Micho aliongozana na Rais wa FUFA, Mhandisi Moses Magogo, Ofisa wa The Cranes, Patrick Ntege na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa FUFA, Ahmed Hussein na akawapongeza wachezaji kwa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani Gabon.
Uganda Cranes itacheza na Togo Oktoba 4 katika mchezo wa kirafiki mjini Lome, kabla ya kumenyana na Ghana katika mchezo wa Kundi E mjini Tamale City kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018.
Wachezaji wa nyumbani wataanza mazoezi Oktoba 1 mwaka 2016 baada ya mechi za Ligi Kuu ya Azam Uganda Septemb 30, wakati wachezaji wengi wa kigeni wataungana na timu moja kwa moja mjini Lome.
Kikosi kamili cha Uganda alichotaja Micho leo kinaundwa na makipa; Dennis Onyango (Mamelodi Sundowns, Afrika Kusini), Salim Jamal (El Merriekh, Sudan), Benjamin Ochan (KCCA, Uganda) na Ismail Watenga (Vipers, Uganda).
Mabeki; Nicholas Wadada (Vipers, Uganda), Dennis Iguma (Al Ahed, Lebanon), Joseph Nsubuga (SC Villa, Uganda), Isaac Isinde, Murushid Jjuuko (Simba, Tanzania), Rashid Toha (Onduparaka, Uganda), Timothy Awany (KCCA, Uganda), Halid Lwaliwa (Vipers, Uganda), Joseph Ochaya (KCCA, Uganda), Godfrey Walusimbi (Gor Mahia, Kenya)
Viungo; Mike Azira (Colorado Rapids, Uganda), Geofrey ‘Baba’ Kizito (Than Quảng Ninh, Vietnam), Aucho Khalid (Baroka, Afrika Kusini), Ivan Ntege (KCCA, Uganda), Moses Oloya (Kuban Krasnodar, Urusi), Tonny Mawejje (Knattspyrnufélagið Þróttur, Iceland), William Luwagga Kizito (Rio Ave, Ureno) na Abdulmalick Vitalis Tabu (SC Villa, Uganda)
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2cGV0NY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OKWI ATEMWA THE CRANES, JUUKO KAMA KAWA PANGA PANGUA YUMO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/okwi-atemwa-cranes-juuko-kama-kawa.html. Terimakasih atas perhatiannya.