Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amejiunga na klabu ya Black Leopards FC ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini kwa mkopo wa miezi mitatu.
Taarifa iliyotolewa na Mbeya City leo imesema kwamba Ambokile anajiunga Black Leopards FC iliyoanzishwa mwaka 1983 katika mji wa Venda uliopo kaskazini mwa Afrika Kusini baada ya mpango wa awali wa kujiunga na El Gounah kushindikana.
Ambokile wiki iliyopita nchini kutoka Misri baada ya wiki moja ya kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa katika klabu huyo ya Ligi Kuu ya nchini humo.
Eliud Ambokile amejiunga na Black Leopards FC ya Afrika Kusini kwa mkopo wa miezi mitatu
Na Mtendaji Mkuu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe alisema kwamba Ambokile alorejea baada ya kufanya vizuri katika majaribio yake El Gounah, lakini klabu hiyo haikufikia makubaliano na Mbeya City.
“Hawa mabwana (El Gounah) baada ya kumjairbu kwa siku sita, wakataka kumchukua kwa mkopo, au acheze kwanza kwa miezi sita ndiyo waaamue kumnunua moja kwa moja dirisha kubwa. Lakini sisi tukaona wao kuendelea kuwa naye bila kumnunua ni kuwaminyia nafasi wengine wanaomtaka,” alisema Kimbe baada ya Ambokile kurejea kutoka Msiri.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Gd0D5W
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms