• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ▼  Januari (404)
      • Hollywoodbets 1voucher Promotion: Terms & Conditions
      • WTA Tour: St Petersburg Ladies' Open Selected Quar...
      • YANGA SC YAITOA BIASHARA UNITED KWA MATUTA TAIFA, ...
      • KICHUYA AKAMILISHA UHAMISHO WAKE MISRI, ATOLEWA KW...
      • TAIFA STARS KUMENYANA NA SUDAN KUWANIA TIKETI YA C...
      • Fairview Best Bets Friday 1 February 2019
      • AZAM FC U20 YAWACHAPA VIJANA WENZAO WA YANGA 2-1 C...
      • Greyville Best Bets Friday 1 February 2019
      • EPL: Manchester City vs Arsenal Preview
      • Kaizer Chiefs Youngster Career over after Car Crash
      • PRO 14: Cheetahs v Kings Preview
      • KAZANG Promo: Terms and Conditions
      • Australia vs Sri Lanka: Second Test Preview
      • Dolphins Bat themselves to a Positive Draw in PMB
      • NBA | 1 February 2019 Preview
      • Italian Serie A: Week 22 Preview
      • German Bundesliga: Week 20 Preview
      • Holly Top Up Vouchers Available at GloCell
      • Vaal Best Bets Tuesday 31 January 2019
      • RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA ...
      • CHIESA APIGA HAT TRICK FIORENTINA YAICHAPA 7-1 AS ...
      • COUTINHO AFUNGA MAWILI BARCELONA IKIICHAPA SEVILLA...
      • LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY ...
      • CHELSEA YAFUMULIWA 4-0 NA BOURNEMOUTH NA KUONDOLEW...
      • SHIZA KICHUYA AKARIBIA KUJIUNGA NA KLABU YA LIGI D...
      • AMBOKILE WA MBEYA CITY AJIUNGA NA BLACK LEOPARDS Y...
      • Hollywoodbets Dolphins with it all to do on Day Four
      • West Indies vs England: Second Test Preview
      • PSL: Week 19 Preview
      • New Zealand vs India: Fourth ODI Preview
      • NFD: Week 19 Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek 22 Preview
      • European Tour: Saudi International Preview
      • PGA Tour: Waste Management Phoenix Open Preview
      • Scottsville Wednesday 30 January 2019 Best Bets
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA BONIFACE PAWASA
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ALLY KATOLILA, MSH...
      • AUBAMEYANG, LACAZETTE WOTE WAFUNGA ARSENAL YAIPIGA...
      • MAN UNITED YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO KUPATA SARE N...
      • MANCHESTER CITY WAGONGWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED S...
      • ALIYEWEKA REKODI YA MABAO AFCON AFARIKI DUNIA, NI ...
      • Six Nations: Ireland v England Preview
      • Six Nations: France v Wales Preview
      • ANGALIA COPPA ITALIA KUPITIA STARTIMES NAPOLI MIKO...
      • South Africa vs Pakistan: Fifth ODI Preview
      • MAREFA WA SENEGAL KUCHEZESHA MECHI YA AL AHLY NA S...
      • WTA Tour: St Petersburg Ladies' Trophy Ro16 Preview
      • AZAM FC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MTIBWA NAYO ...
      • Vaal Best Bets Tuesday 29 January 2019
      • Van Jaarsveld hands Dolphins Fast Start in PMB
      • Gauteng Guineas & Fillies Guineas 2019 - Final Fields
      • HSBC Sevens: Sydney Sevens Preview
      • Guiness Six Nations 2019: Scotland v Italy Preview
      • Super Rugby 2019: South African Super Rugby Preview
      • 5 Talking Points from the Sporting Weekend
      • EPL: 50/1 Januworry Treble
      • AIBU ILIYOJE TIMU ZA TANZANIA KUENDELEA KUBORONGA ...
      • RONALDO AFUNGA LA USHINDI JUVENTUS YAILAZA LAZIO 2...
      • R1 Million Horse Racing Promotion: WINNERS
      • Weekend Soccer Results: 25 - 27 January 2019
      • Fairview Monday 28 January 2019 Best Bets
      • Dolphins welcome back stars for final 4-Day Series...
      • CRYSTAL PALACE YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPUR KOMBE...
      • MESSI AFUNGA LA PILI BARCELONA YASHINDA 2-0 UGENIN...
      • BENZEMA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 4-2 LA ...
      • WILLIAN APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 3-0 KOMBE LA ...
      • NI KARIOBANGI SHARKS MABINGWA WAPYA WA SPORTPESA S...
      • SIMBA WAIPIGA MBAO KWA MATUTA NA KUSHIKA NAFASI YA...
      • STARS ILIYOTOA SARE NA ZAMBIA 2-2 KOMBE LA CHALLEN...
      • Greyville Best Bets Sunday 27 January 2019
      • SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO KRC GENK YAGONGWA NYUMB...
      • KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MBEYA CITY YAWAT...
      • MAN CITY YAIFUMUA BURNLEY 5-0 KOMBE LA FA ENGLAND
      • Sun Met 2019 Winner - RAINBOW BRIDGE
      • BALOTELLI AANZA NAO BAO MARSEILLE IKICHAPWA 2-1 NA...
      • MAN UNITED YAIGONGA ARSENAL 3-1 EMIRATES NA KUSONG...
      • AZAM FC YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-1 NA KUIKARIBIA ...
      • KOMBE LA SPORTPESA LAREJEA KENYA, MBAO NA SIMBA KU...
      • Turffontein Best Bets Saturday 26 January 2019
      • Kenilworth Best Bets Saturday 26 January 2019
      • SIMBA SC NA BANDARI YA MOMBASA KATIKA PICHA LEO TAIFA
      • WTA Tour: Australian Open Final Betting Preview
      • SIMBA SC WACHAPWA NA JAMAA WA MOMBASA NA KUTOLEWA ...
      • Opinion: Injuries may have gifted Proteas middle-o...
      • MONACO YASMTIMUA THIERRY HENRY BAADA YA SIKU 104
      • RAMOS AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 4-2 KOMBE...
      • MBEYA CITY YAKATAA KUMTOA KWA MKOPO AMBOKILE PAMOJ...
      • Win a Basketball Jersey Promotion - Terms and Cond...
      • AZAM FC YAPANIA KUWAADHIBU BIASHARA UNITED LEO USI...
      • LUIZ AIPELEKA CHELSEA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND
      • Bold Dolphins take it close in East London
      • Greyville Best Bets Friday 25 January 2019
      • Fairview Friday 25 January 2019 Best Bets
      • PRO 14: Round 14 Preview
      • NBA | 25 January 2019 Preview
      • HSBC Sevens: Hamilton Sevens Preview
      • South Africa vs Pakistan: Third ODI Preview
      • Sun Met 15% Deposit Bonus
      • WAMBURA ASEMA FIFA IMEMFUNGIA KWA TAARIFA POTOFU W...
      • ISMAILIA YA YAHYA ZAYD YAENGULIWA LIGI YA MABINGWA...
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO KRC GENK YAGONGWA NYUMBANI 2-1 LIGI YA UBELGIJI

SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO KRC GENK YAGONGWA NYUMBANI 2-1 LIGI YA UBELGIJI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amecheza kwa dakika zote 90, klabu yake, KRC Genk ikichapwa 2-1 na Royal Excel Mouscron nyumbani katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk.
Lakini pamoja kichapo hicho, Genk inaongoza Ligi hiyo kwa pointi zake 51, ikifuatiwa na Antwerp yenye point 42 baada ya wote kucheza mechi 23 na Club Brugge pointi 41 za mechi 22, wakati Royal Excel Mouscron inainuka kutoka nafasi ya 15 hadi ya 12 kwenye ligi ya timu 16, sasa ikifikisha pointi 23 katika mechi ya 23.
Katika mchezo wa jana, mabao ya Royal Excel Mouscron yalifungwa na M'Baye Leye kwa penalti dakika ya 17 na Taiwo Michael Awoniyi dakika ya  90 akimalizia pasi ya Nikola Gulan, wakati la Genk lilifungwa na S. Dewaest dakika ya 73, akimalizia pasi ya Bryan Heynen.

Beki Mcameroon, Frank Boya wa Royal Excel Mouscron akiteleza mbele ya mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta kuondoa mpira jana Uwanja wa Luminus Arena 

Kwa Samatta mwenye umri wa miaka 26, jana amefikisha jumla ya mechi 139 za mashindano yote alizoichezea KRC Genk tangu amejiunga nayo Januari mwaka 2016 akitokea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa amefunga mabao 55.
Kwenye Ligi ya Ubelgiji pekee amecheza mechi 107 na kufunga mabao 40, wakati Europa League amefunga mabao 14 katika mechi 22 na katika Kombe la Ubelgiji amefunga mabao mawili katika mechi tisa.
Kikosi cha KRC Genk kilikuwa: Jackers, Maehle, Aidoo, Dewaest, Borges, Heynen, Wouters/Fiolic dk46, Malinovskyi, Ndongala/Gano dk47, Trossard na Samatta.
RE Mouscron; Butez, Dussenne, Friede, Awoniyi, Boya, Leye, Bakic, Gulan, Vojvoda, Vandurmen/Pierrot dk81 na Godeau.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2WoGqjc best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO KRC GENK YAGONGWA NYUMBANI 2-1 LIGI YA UBELGIJI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/01/samatta-acheza-hadi-mwisho-krc-genk.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 17.43
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO KRC GENK YAGONGWA NYUMBANI 2-1 LIGI YA UBELGIJI