Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Pan Africans Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Ushindi huo umetokana na mabao ya Elias Maguri dakika ya 27, Chrles Ilamfya dakika ya 62, Mohammed Rashid dakika ya 67, Abdil Hillary dakika ya 70 na Salum Chukwu dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la mabingwa wa zamani wa Tanzania, Pan limefungwa na Abdul Masikini dakika ya 90.
Kwa ushindi huo, KMC iliyopanda Ligi Kuu msimu huu itakutana na mshindi kati ya Mtibwa Sugar na Maji Maji FC ya Songea.
Nayo Kagera Sugar imeitupa nje Mbeya Kwanza kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 2-2 katika mchezo mwingine wa hatua ya 32 Bora uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Na safari ya Mashujaa FC waliowatoa mabingwa wa Tanzania, Simba SC katika hatua ya 64 Bora imefupishwa na Mbeya City leo baada ya kuchapwa 1-0 mjini Kigoma,
Lipuli FC ya Iringa ikaitoa Polisi Tanzania kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa Ushirika mjini Moshi, wakati Alliance FC imeifunga La Familia 2-0 Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza.
Dodoma FC ya kocha Jamhuri Kihwelo imeitoa Transit Camp kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 Uwanja wa Jamhiri mjini Dodoma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Hyp68m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms