Na Mwandishi Wetu, JINJA
TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imeanza vyema michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge U20) kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya Ethiopia leo mjini Jinja, Uganda.
Nyota wa mchezo wa leo alikuwa ni chipukizi wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, Andrew Simchiba aliyefunga mabao matatu peke yake dakika za 38, 49 na 85, baada ya chipukizi mwingine, Kelvin Pius John aliye mbioni kusajiliwa KRC Genk ya Ubelgiji kufunga la kwanza dakika ya 18.
Ngorongoro Heroes inayofundishwa na kocha wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zubery Katwila itarudi uwanjani Jumanne kumenyana na Kenya kabla ya kukamilisha mechi zake za Kundi B kwa kucheza na ndugu zao, Zanzibar Septemba 26.
Chipukizi Andrew Simchiba akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Ngorongoro Heroes mabao matatu leo
Mfungaji wa bao la kwanza la Ngorongoro Heroes, Kelvin Pius John (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Ethiopia
Hatua ya Robo Fainali itafuatia Septemba 29, Nusu Fainali Okatoba 2 na Fainali ya michuano ya CECAFA Challenge U20 mwaka 2019 itapigwa Oktoba 5.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/31F7zks
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms