KLABU ya Marseille imemsimamisha Patrice Evra baada ya beki huyo wa kushoto kumpiga teke shabiki wa timu hiyo kabla ya mchezo wa Kundi I Europa League dhidi ya wenyehi Vitoria Guimaraes usiku wa Alhamisi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United mwenye umri wa miaka 36 alikasirika na kumpiga teke shabiki akidai alimtolea maneno ya kashfa.
Timu hiyo ya Ligue 1 imesema kwamba ilimhoji Evra kabla ya kuchukua uamuzi huo.
Taarifa ilisema kwamba; "Jacques-Henri Eyraud, rais wa Olympique de Marseille, alikutana na Patrice Evra na kumuarifu juu ya uzito wa kosa lake na hatua zinazoweza kuchukuliwa dhidi yake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2zbxIw5
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang EVRA ASIMAMISHWA MARSEILLE KWA KUMPIGA TEKE SHABIKI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/11/evra-asimamishwa-marseille-kwa-kumpiga.html. Terimakasih atas perhatiannya.