Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA Mzambia wa Yanga, George Lwandamina ametoa wiki moja ya mapumziko kwa wachezaji wake kufuatia mechi 11 za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, timu ikiwa inashika nafasi ya tatu nyuma ya Simba na Azam.
Taarifa ya Yanga SC jioni ya leo imesema kwamba kocha Lwandamina ametoa siku saba za mapumziko kwa wachezaji wake kuanzia leo Jumatatu kikosi kitarejea tena mazoezini Jumatatu ijayo.
Yanga inakwenda mapumzikoni ikitoka kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu juzi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Kocha Mzambia wa Yanga, George Lwandamina ametoa wiki moja ya mapumziko kwa wachezaji wake
Katika mchezo huo uliochezeshwa na Shomary Lawi wa Kigoma aliyesaidiwa na Abdallah Rashid wa Pwani na Sylvester Mwanga wa Kilimanjaro, Prisons walitangulia kwa bao la Eliuter Mpepo dakika ya tisa akitumia makosa ya mabeki wa kati wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ na Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ waliochanganyana na kipa wao, Mcameroon, Youth Rostande na kushindwa kuokoa.
Prisons walipata pigo dakika ya 36 baada ya mchezaji wake, Lambert Sibiyanka kutolewa kwa kadinyekundu na refa Lawi kufuatia kumpiga kiwiko beki wa Yanga, Juma Abdul.
Yanga walitumia mwanya huo kuongeza mashambulizi kusaka bao la kusawazisha na wakafanikiwa kupata bao dakika ya 41, lililofungwa na kiungo Raphael Daudi aliyemalizia krosi ya mshambuliaji Ibrahim Ajib.
Kwa sare hiyo, Yanga inafikisha pointi 21 baada ya kucheza mechi 12, ikizidiwa pointi mbili mbili na Simba na na moja na Azam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2AcLZsO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang LWANDAMINA AWAPA ‘OFF’ WACHEZAJI WOTE YANGA SIKU SABA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/11/lwandamina-awapa-off-wachezaji-wote.html. Terimakasih atas perhatiannya.