Na Mwandishi Wetu, CASABLANCA
WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva leo amefungua biashara nzuri timu yake Difaa Hassan El – Jadida ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Racing De Casablanca Uwanja wa Pere-Jego mjini Casablanca.
Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola, Msuva alifunga bao la kwanza dakika ya nane na baada ya hapo timu yake ikafunguka na kupata mabao mawili zaidi.
Ayoub Nanah alifunga bao la pili dakika ya 37 kabla ya Bilal El Magri kushindilia msumari wa moto kwenye kidonda cha Racing De Casablanca dakika ya 69.
Simon Msuva (katikati) mstari wa mbele kwenye kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El- Jadida
Baada ya kazi nzuri katika mchezo wa leo, winga wa zamani wa Yanga, Msuva akampisha Mario Bernard kipindi cha pili, wakati El Magri naye alimpisha Zakaria Alyoud na Nanah akampisha Youness Hawassi.
Ushindi huo katika mechi ya saba ya msimu wa Ligi, unaifanya DHJ ifikishe pointi 14 na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Botola, nyuma ya Hassania Agadir yenye pointi 16 za mechi tisa.
Kikosi Cha Difaa Hassan El – Jadida Kilikuwa; Yahia El Filali, Youssef Aguerdoum, Marouane Hadhoudi, Anouar Jayid, Tarik Astati, Mohammed Ali Bemaammer, Adil El Hasnaoui, Ayoub Nanah/Youness Hawassi, Bilal El Magri/ Zakaria Alyoud, Adnane El Ouardy na Simon Msuva/Mario Bernard.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2zFunGT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms