Nemanja Matic akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya mwisho ikitoka nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace na kushinda 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Selhurst Park, London.
Andros Townsend alianza kuifungia Palace dakika ya 11 baada ya shuti lake kumbabatiza Victor Lindelof na kumpoteza mwelekeo kipa David de Gea, kabla ya Patrick van Aanholt kufunga kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 48.
Manchester United ikazinduka, Chris Smalling akifunga la kwanza dakika ya 55, Romelu Lukaku la pili dakika ya 76 na Nemanja Matic la tatu dakika ya kwanza ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90.
Ushindi huo unaifanya timu ya kocha Mreno, Jose ifikishe pointi 62 baada ya kucheza mechi 29 na kurejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi, ikiizidi kwa pointi mbili Liverpool inayoteremkia nafasi ya tatu, huku yenyewe ikizidiwa pointi 16 na vinara, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2I4Muq7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms