Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Rashid Yussuf Mandawa anayechezea klabu ya BDF XI amekuwa tishio katika Ligi Kuu ya Botswana kutoka na kasi yake ya kufunga mabao.
Straika huyo amekuwa kipenzi cha mashabiki wa soka nchini humo hasa wa klabu yake, aliyoifungia mabao 11 ambayo ni muhimu na ya kutosha msimu huu.
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports - Online kwa simu kutoka Gaborone jana, Mandawa aliyesajiliwa timu hiyo akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, amesema anahitaji kusaidia timu yake kufanya vizuri na kupata tuzo ya mfungaji bora.
Rashid Mandawa anafanya vizuri katika klabu ya BDF XI ya Botswana inayoshiriki Ligi Kuu ya Botswana
Katika msimamo wa wafungaji , Mandawa yupo nafasi 4 kwa mabao 11, nafasi ya ya tatu ni Tumisang Orebonye akitikisa wavu mara 12, wanaongoza ni Thatayaone Kgamanyane, Orebotse Mongae kwa mabao 13 na Kekaetswe Moloi anashika nafasi ya tano akiwa amefunga mabao 10.
Alisema hana hofu juu ya walimpita kwa idadi ya ufungaji akiamini atafikia idadi yao na pita.
"Lengo langu kusaidia timu yangu kufanya vizuri pamoja na kutwaa tuzo ya mfungaji bora," alisema.
Mandawa alisema anaimani ya kufikia idadi hiyo na kupita katika mechi moja au mbili.
"Kama nilifanikiwa kufunga hat trick katika mchezo na Township Rollers katika ligi nina imani katika mechi zinazokuja tutafanya vizuri na kufunga bao, alisema Mandawa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2FORo94
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms