Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MCHEZO wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC na Township Rollers ya Botswana uliochezwa Jumanne wiki hii Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam umeingiza jumla ya Sh 56,245,000.
Kiasi hicho cha fedha kimetokana na jumla ya watazamaji 9,961 waliojitokeza kuushuhudia mchezo huo ambao wenyeji, Yanga SC walichapwa mabao 2-1.
Katika mashabiki hao 9,961 ni 99 tu walioketi jukwaa la VIP A ambako kiingilio kilikuwa Sh 20,000 na kupatikana jumla ya Sh. 1,980,000 na 991 waliketi VIP B na C kwa kiingilio cha shilingi 10,000 ambako ilipatikana Sh. 9,910,000.
Mechi ya Yanga SC na Township Rollers ya Botswana imeingiza Sh Milioni 56
Katika majukwa ya rangi ya Machungwa, Bluu na Kijani ndiko waliketi watazamaji wengi zaidi 8,871 kwa kiingilio ncha shilingi 5,000 na zimepatikana jumla ya Sh. 44,355,000
Katika fedha hizo, Sh. zimekatwa kodi ya VAT Sh. 8,579,745.76, Selcom Sh. 3,318,455.00, TFF Sh. 2,217,339.96, Uwanja 6,652,019.89, Gharama za mchezo Sh. 3,991,211.93, BMT Sh. 443,467.99, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepelekewa Sh. 2,217,339.96 na klabu yenyewe, Yanga SC imepata Sh. 28,825,419.50
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2FDd8bb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms