Mshambuliaji wa Al Masry, Mohamed Abdellatif 'Grendo' akitafuta maarifa ya kumpita beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Port Said, Misri. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 na Al Masry inasonga mbele kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam
Mohamed Abdellatif akimlamba chenga Asante Kwasi huku Mghana mwenzake, Asante Kwasi akishuhudia
Beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi akiingiza mguu kuondoa mpira kwenye himaya ya mchezaji wa Al Masry, Mohamed Mostafa Emam 'Shatta'
Mshambuliaji Mghana wa Simba, Nicholaus Gyan anayetumika kama beki katika mfumo wa sasa akimdhibiti winga wa Al Masry, Mohamed Ahmed
Ahmed Shokry wa Al Masry akipiga hesabu za kumpita beki wa Simba, Shomary Kapombe
Beki wa Simba, YUssuf Mlipili akiokoa mbele ya mchezaji wa Al Masry jana
Kikosi cha Al Masry kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Port Said
Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana POrt Said
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2G0iE82
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC NA AL MASRY KATIKA PICHA JANA PORT SAID. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/03/simba-sc-na-al-masry-katika-picha-jana.html. Terimakasih atas perhatiannya.