Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR
TIMU ya Azam FC imeendeleza ubabe kwa Yanga SC kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuitandika mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi B usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa aliifunga mabao mawili timu yake ya zamani dakika za 33 na 60, wakati bao linguine lilifungwa na kiungo Mghana, Ennock Atta-Agyei dakika ya 40.
Azam FC inafikisha pointi nne baada ya ushindi huo kufuatia sare ya 1-1 na Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa kwanza na kupanda kileleni mwa Kundi B.
Yanga SC baada ya kipigo cha leo inaangukia nafasi ya tatu, nyuma ya Azam na Malindi zenye pointi nne kila moja, wakati timu nyngine katika kundi hilo, Jamhuri ya tatu kwa pointi yake moja sawa KVZ inayoshika mkia.
Michuano hiyo itaendelea kesho kwa mechi mbili, Jamhuri ikianza kumenyana na KVZ Saa 10:15 jioni Kundi B na baadaye KMKM wakimenyana na Simba SC Kundi A Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, kama kawaida
Kikosi cha Azam FC kilikuwa; Razak Abalora, Nico Wadada, Bruce Kangwa, Yakubu Mohammed, Aggrey Moris, Stephan Kingue, Joseph Mahundi, Mudathir Yahya, Obrey Chirwa, Tafadzwa Kutinyu/Salmin Hoza dk66 na Enock Atta-Agyei/Iddi Kipagwile dk85.
Yanga SC; Ibrahim Hamid, Yassin Saleh, Mwinyi Mngwali, Cleophas Sospeter, Said Juma ‘Makapu’, Maka Edward, Deus Kaseke, Gustafa Simon/Faraj Kilaza dk85, Matheo Anthony, Pius Buswita na Shaaban Mohammed.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2TpRgDw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms