Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) leo imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Cliff Buyoya dakika ya 66, huo ukiwa ushindi wan ne mfululizo kwa KMC Uwanja wa Uhuru na katika mechi zote timu hiyo haijaruhusu nyavu zake kuguswa.
Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 21 na kupanda hadi nafasi ya nne nyuma ya mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 33 za mechi 14, Azam FC pointi 40 za mechi 17 na Yanga SC pointi 50 za mechi 18.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, mabao ya Boniphace Maganga yameipa Singida United ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mwadui FC Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu kati ya Lipuli FC na JKT Tanzania iliyopangwa kuchezwa leo imesogezwa mbele hadi kesho.
Mchezo mmoja ulifanyika jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam na wenyeji, African Lyon wakachapwa 2-0 na Alliance FC ya Mwanza mabao ya Bigirimana Blaise dakika ya 19 na Dickson Ambundo dakika ya 57.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2RpEQz1
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms