Sadio Mane akiifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 90 na ushei ikiilaza Crystal Palace 4-3 usiku wa leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah mawili, dakika ya 46 na 75 na Roberto Firmino dakika ya 53, wakati ya Crystal Palace yamefungwa na Andros Townsend dakika ya 34, James Tomkins dakika ya 65 na Max Meyer dakika ya 90 na ushei.
Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 60 baada ya kucheza mechi 23, ikiendelea kuongoza Ligi Kuu England kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City wanaofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2CAnDs7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang LIVERPOOL YAENDELEA KUNG'ARA ENGLAND, YAICHAPA PALACE 4-3. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/01/liverpool-yaendelea-kungara-england.html. Terimakasih atas perhatiannya.