MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika 2018 kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya miezi 12 mizuri.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Misri ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwasaidia Wekundu hao kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Mei mwaka jana na amekuwa chachu ya mafanikio ya Liverpool kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England hadi sasa ikiwa inaongoza.
Katika sherehe zilizofanyika mjini Dakar, Senegal, usiku wa jana, Salah ametetea tuzo aliyoitwaa miezi 12 iliyopita.
Salah aliweka rekodi ya mabao msimu wa 2017/18 kwa kufunga mabao 32 kwenye Ligi Kuu nya England na 44 jumla katika mashindano yote.
Mwanasoka Bora wa zamani wa Dunia, George Weah akimkabidhi Mohamed Salah tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika jana mjini Dakar, Senegal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pia alifunga mabao mawili katika fainali za Kombe la Dunia mwaka jana ambazo zilikuwa za kwanza kwa Misri baada ya miaka 28.
Salah amemshinda mchezaji mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane na nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang.
Salah alikabidhiwa tuzo huyo na gwiji wa soka Afrka na Mwanasoka Bora wa zamani wa Dunia, George Weah ambaye pia ni Rais wa Liberia.
Na akateuliwa kwenye kikosi bora cha Afrika 'Africa Best XI 2018' sambamba na Mane, Naby Keita, Aubameyang, Riyad Mahrez wa Manchester City, Eric Bailly wa Manchester United, Serge Aurier wa Tottenham, Medhi Benatia wa Juventus, Kalidou Koulibaly wa Napoli, Thomas Partey wa Atletico Madrid na kipa Mganda, Denis Onyango wa Mamelodi Sundowns.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2LYh5Ig
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SALAH MWANASOKA BORA AFRIKA, DENIS ONYANGO AWA KIPA BORA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/01/salah-mwanasoka-bora-afrika-denis.html. Terimakasih atas perhatiannya.