Leroy Sane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 72 ikiilaza 2-1 Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad.
Bao la kwanza la Machester City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 40 kabla ya Roberto Firmino kuisawazishia Liverpool dakika ya 64.
Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 50 na kuendelea kukamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, sasa ikizidiwa pointi nne tu na vinara, Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2F6M17K
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms