Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco hatasafiri na timu kesho kwenda Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, AS Vita Jumamosi.
Daktari wa Simba SC, Yassin Gembe amewaambia Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam kwamba Bocco anatakuwa kuwa nje kwa siku 10 baada ya kuumia kwenye Jumamosi iliyopita kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi D dhidi ya Jeunesse Sportive de la Saoura, ijulikanayo kama JS Saoura ya Algeria.
Katika mchezo huo ambao Simba SC ilishindfa 3-0 dhidi ya JS Saoura au JSS Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Arnold Okwi akifunga bao moja na kuseti mawili mawili mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
John Bocco hatasafiri kesho kwenda Kinshasa kwa ajili ya mchezo dhidi ya AS Vita Jumamosi
Bocco maarufu kwa jina la utani, Adebayor aliumia dakika ya 34 na kutolewa nje kwa machela kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na mshambuliaji mwenzake, Meddie Ksgere kutoka Rwanda aliyekwenda kufunga mabao mawili kwenye ushindi huo.
Simba SC itacheza mechin yake ya pili Jumamosi mjini Kinshasa dhidi ya wenyeji, AS Vita ambao mechi yao ya kwanza walifungwa 2-0 na wenyeji, Al Ahly Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria. JS Saoura watakuwa wenyeji wa Ahly siku hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2FD5dKH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms