• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ▼  Maret (419)
      • LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1 NA KUREJEA KILELENI L...
      • Fairview Best Bets Monday 1 April 2019
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Monday 1 April 2019
      • CHELSEA YATOKA NYUMA BADO DAKIKA SITA YASHINDA 2-1...
      • BOCCO APIGA MBILI, KAGERE MOJA SIMBA SC YAIPIGA MB...
      • SERIKALI YAZIAGIZA BMT NA TFF ZIHAKIKISHE UCHAGUZI...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Sunday 31 March 2019
      • SAMATTA ATOA PASI YA BAO LA KWANZA KRC GENK YAITAN...
      • MESSI APIGA ZOTE MBILI BARCELONA YAICHAPA ESPANYOL...
      • RASHFORD, MARTIAL WAFUNGA MAN UNTED WAICHAPA WATFO...
      • MAN CITY YAREJEA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA...
      • KINDOKI APANGUA PENALTI MBILI KUIPELEKA YANGA NUSU...
      • UK and Ireland Racing Best Bets Today - 30th March...
      • WANACHOTAKIWA KUFANYA YANGA KATIKA WAKATI HUU MGUM...
      • AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA...
      • Dubai World Cup 2019 - Race Previews - Undercard
      • Dubai Turf 2019 - Race Preview
      • Dubai Sheema Classic 2019 - Race Preview
      • Dubai World Cup sponsored by Emirates Airline 2019...
      • Scottsville Sunday 31 March 2019 Best Bets
      • Kazang Promotion: Terms and Conditions
      • Turffontein Best Bets Saturday 30 March 2019
      • Crusaders Make Statement over Hurricanes Win
      • Fairview Best Bets Saturday 30 March 2019
      • Phaka Predictions - Super Rugby - Round 7
      • Flash - 1voucher Promotion Terms and Conditions
      • MSUVA AIFUNGIA BAO LA KUSAWAZISHA DIFAA EL-JADIDI ...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Friday 29 March 2019
      • Greyville Best Bets Friday 29 March 2019
      • SOLSKJAER ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUENDELEA...
      • IPL: Weekend 30 - 31 March Preview
      • Charlie Appleby - Dubai World Cup 2019 - Trainer I...
      • Richard Mullen - Dubai World Cup 2019 - Interview
      • Fairview Best Bets Friday 29 March 2019
      • SERENGETI BOYS YATUA KIGALI KUSHIRIKI MICHUNAO MAA...
      • Champions Cup: Quarter-Finals Preview
      • Champions Cup: Racing Metro 92 v Toulouse Preview
      • Super Rugby 2019: Waratahs v Sunwolves Preview
      • Bayern Munich Break Club Record Fee for Top Defender
      • Chelsea Starlet Not for Sale
      • It's Official: Ole Gunnar Solskjaer Takes Charge o...
      • Opinion: Australia could be peaking at right time ...
      • Spanish La Liga: Week 29 Preview
      • PSL: Orlando Pirates v Mamelodi Sundowns Preview
      • KAPTENI MKUCHIKA AUNDA KAMATI MBILI YANGA, APENDEK...
      • RAIS WA TFF WALLACE KARIA AWASHUKURU WATANZANIA KU...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Thursday 27 March 2019
      • Final berth on the horizon for Dolphins
      • KMC NA LIPULI FC ZATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA AZA...
      • Vaal Best Bets Thursday 28 March 2019
      • Challenge Cup 2018/19: Quarter-Finals Preview
      • Italian Serie A: Week 29 Preview
      • GARDIEL MICHAEL ATIMKIA NCHINI AFRIKA KUSINI KUFAN...
      • LUKUMAY NA NYIKA ‘WABWAGA MANYANGA’ YANGA WAMKABID...
      • German Bundesliga: Week 27 Preview
      • Nedbank Cup: Quarterfinal Preview
      • PGA Tour: Corales Puntacana Resort and Club Champi...
      • NFD: Week 25 Preview
      • European Tour: Hero Indian Open Preview
      • KUELEKEA MECHI YA TAIFA STARS NA THE CRANES MACHI ...
      • CORREA APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YAICHAPA MOROCCO ...
      • JESUS APIGA MBILI BRAZIL YAICHAPA 3-1 CZECH KIRAFI...
      • MORATA APIGA ZOTE HISPANIA YAICHAPA 2-0 MALTA KUFU...
      • MKONGWE QUAGLIARELLA APIGA MBILI ITALIA YAISHINDIL...
      • ABDALLAH KHERI 'SEBO' AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIT...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Wednesday 27 March ...
      • Greyville Best Bets Wednesday 27 March 2019
      • EPL: Liverpool vs Tottenham Preview
      • English Premier League: Gameweek 32 Preview
      • PGA Tour: WGC Dell Technologies Match-Play Preview
      • F1 2019: Australian Grand Prix Preview
      • F1 2019: Bahrain Grand Prix Preview
      • WTA Tour: Miami Open Preview (Selected Quarter-Fin...
      • Challenge Cup 2018/19: Quarter-Finals Preview
      • ATP Tour: Miami Open Preview (Selected Round of 16...
      • RONALDO AUMIA MAPEMA TU NA KUTOLEWA, URENO SARE TE...
      • MBAPPE, GRIEZMANN WAFUNGA UFARANSA YAICHAPA 4-0 IC...
      • ENGLAND YAENDELEZA UBABE KUFUZU EURO 2020, YASHIND...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Tuesday 26 March 2019
      • RAIS MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA ST...
      • RAIS MAGUFULI AWAZAWADIA VIWANJA DODOMA WACHEZAJI ...
      • Vaal Best Bets Tuesday 26 March 2019
      • Super Rugby | Hurricanes vs Crusaders Preview
      • TANZANIA 3-0 UGANDA (KUFUZU AFCON 2019)
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MOHAMMED HUSSEIN '...
      • Super Rugby 2019: Round 7 Saturday Preview
      • Varsity Cup 2019: Round 8 Preview
      • Weekend Soccer Results | 22 - 22 March 2019
      • Dolphins to host semi-final after Lions draw
      • IPL: 25 - 29 March Preview
      • Tau Hits Brace as Bafana Bafana Book Afcon Date
      • Flamingo Park Best Bets Monday 25 March 2019
      • MODRIC NDANI CROATIA YAPIGWA 2-1 NA HUNGARY KUFUZU...
      • HAZARD AFUNGA BAO MECHI YA 100 UBELGIJI IKIICHAPA ...
      • UJERUMANI YAICHAPA UHOLANZI 3-2 AMSTERDAM KUFUZU E...
      • MBIO ZA AFCON 2019 MISRI ZAKAMILISHWA, AFRIKA MASH...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Monday 25 March
      • TANZANIA OYEEE, TAIFA STARS YAIGONGA UGANDA 3-0 NA...
      • KIUNGO WA KAGERA SUGAR, BEHEWA SEMBWANA AFARIKI DU...
      • MWAKINYO AMTWANGA MUARGENTINA KO RAUNDI YA TANO NA...
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » RAIS MAGUFULI AWAZAWADIA VIWANJA DODOMA WACHEZAJI TAIFA STARS KWA KUFUZU AFCON

RAIS MAGUFULI AWAZAWADIA VIWANJA DODOMA WACHEZAJI TAIFA STARS KWA KUFUZU AFCON

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli ameagiza wachezaji wote wa timu ya taifa, Taifa Stars iliyofanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Juni mwaka nchini Misri wapatiwe viwanja katika eneo zuri mjini Dodoma.
Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu mjini Dar es Salaam leo alipokutana na wachezaji wa Taifa Stars kuwapongeza kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam hivyo kuiwezesha nchi kufuzu AFCON kwa mara ya pili tu kihistoria baada ya mwaka 1980 nchini Nigeria.
Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva na mabeki, Erasto Edward Nyoni wa Simba SC na Aggrey Morris Ambroce wa Azam FC za nyumbani, Tanzania na Uganda kufuzu kutoka Kundi L.

Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na wachezaji wa Taifa Stars Ikulu mjini Dar es Salaam leo

Taifa Stars imefuzu kama mshindi wa pili wa kundi kwa pointi zake nane, nyuma ya Uganda iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano.    
Pamoja na wachezaji, ofa ya viwanja wamepewa pia wachezaji wawili waliokuwemo kwenye kikosi cha Taifa Stars iliyofuzu AFCON ya mwaka 1980, beki Leodegar Tenga na mshambuliaji, Augustino Peter, maarufu kama Peter Tino.
Ofa ya kiwanja amepewa pia bondia Hassan Mwakinyo aliyealikwa pia Ikulu leo baada ya kumshinda kwa Knockout (KO) raundi ya tano Muargentina, Sergio Eduardo Gonzalez juzi mjini Nairobi nchini Kenya.
Kwa Peter Tino, pamoja na kiwanja Rais Magufuli alimzawadia fedha taslimu Sh. Milioni 5 kama mtaji wa kwenda kufanya biashara ya kuendesha maisha yake. 
Kwa wachezaji, mbali ya zawadi ya viwanja ya Rais, kila mmoja atapatiwa donge nono la Sh. Milioni 10, ahadi ya Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde, chini ya Mwenyekiti, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.  
Kwa upande wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Kassim Majaliwa ameshauri ya Saidia Taifa Stars Ishinde, chini ya Mwenyekiti wake, Makonda iendelee na jukumu hilo na kwamba ihusishwe pia kwenye kampeni za timu nyingine za taifa na hata klabu ikibidi.  
Kwa ujumla mbio za kuwania tiketi ya AFCON 2019 zilikamilishwa jana huku timu nne za Afrika Mashariki, Burundi Uganda, Kenya na Tanzania zikifuz fainali za mwaka huu zilizopangwa kuanza Juni 21 hadi Julai 19.
Kutoka kundi A zilizofuzu ni Senegal na Madagascar zilizozipiku Equatorial Guinea na Sudan, kutoka Kundi B Morocco na Cameroon zilizozipiku Malawi na Comoro, kutoka Kundi C Mali na Burundi zilizozipiku Gabon na Sudan Kusini, kutoka Kundi D Algeria na Benin zilizozipiku Gambia na Togo na Kundi E ni Nigeria na Afrika Kusini zilizozipiku Libya na Shelisheli.
Nyingine ni kutoka Kundi F ambazo ni Ghana na Kenya zilizozipiku Ethiopia na Sierra Leone, kutoka Kundi G Zimbabwe na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zilizozipiku Liberia na Kongo, kutoka Kundi H ni Guinea na Ivory Coast zilizozipiku Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na Rwanda.
Nyingine ni kutoka kutoka Kundi I Angola na Mauritania zilizozipiku Burkina Faso na Botswana, kutoka Kundi J Tunisia na Misri zilizozipiku Niger na Eswatini, kutoka Kundi K Guinea-Bissau na Namibia zilizozipiku Msumbiji na Zambia na kutoka Kundi L Uganda na Tanzania zilizopiku Lesotho na Cape Verde.
Droo ya kupanga makundi ya AFCON ya mwaka huu ambayo kwa mara ya kwanza itashirikisha timu 24 kutoka 16, itafanyika 12 Aprili 12 mjini Cairo nchini Misri.



from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2FrgR9L best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang RAIS MAGUFULI AWAZAWADIA VIWANJA DODOMA WACHEZAJI TAIFA STARS KWA KUFUZU AFCON. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/03/rais-magufuli-awazawadia-viwanja-dodoma.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.34
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
Copyright Viral Sports: RAIS MAGUFULI AWAZAWADIA VIWANJA DODOMA WACHEZAJI TAIFA STARS KWA KUFUZU AFCON