Na Mwandishi Wetu, MBEYA
TIMU ya Biashara United imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Mbeya City 2-0 jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Ushindi huo unaokuja baada ya timu hiyo kupoteza mechi nne na kutoa sare moja, umetokana na mabao ya Ally Kombo dakika ya 67 na Innocent Edwin dakika ya 89.
Nao Coastal Union wameutumia vyema uwanja wa nyumbani, Mkwakwani mjini Tanga baada ya kuichaoa Mwadui FC 2-1.
Mabao ya Coastal Union yamefungwa na Shaaban Idd dakika ya nane na beki Bakari Nondo Mwamnyeto dakika ya 59, baada ya Mwadui FC kutangulia kwa bao la Gerald Mdamu dakika ya tatu.
Nayo Polisi Tanzania imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Singida United Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Mishi, mabao yake yakifungwa na Marcel Kaheza dakika ya 23 na Erick Msagati dakika ya 89, kufuatia Stephen Opuku kuanza kuwafungia wageni dakika ya tatu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32z5wPd
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms