Na Mwandishi Wetu, MWANZA
TIMU ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Pamba SC katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
Mchezo huo umefanyika siku moja tu baada ya Yanga SC kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya timu nyingine ya Mwanza, Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana jioni.
Mabao ya Yanga SC leo yamefungwa na wachezaji wake wa kigeni watupu, Mnyarwanda Patrick ‘Papy’ Sibomana dakika ya 21 na Juma Balinya dakika ya 56, wakati la Pamba SC limefungwa na mkongwe, Shija Mkina dakika ya 26.
Ikumbukwe jana pia bao pekee la ushindi katika mchezo dhidi ya Mbao FC limefungwa na mchezaji wa kigeni pia, Mnamibia Sadney Urikhob.
Yanga SC ipo kambini mjini Mwanza inajiandaa na mchezo wake wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC Jumapili wiki hii Uwanja wa CCM Kirumba.
Kikosi cha Yanga SC leo kilikuwa; Ramadhani Kabwili/Metacha Mnata, Mustafa Suleiman, Jaffar Mohammed, Said Juma ‘Makapu’, Lamine Moro, Abdulaziz Makame, Deus Kaseke, Raphael Daudi/Gustavo Simon, Juma Balinya, Maybin Kalengo na Patrick Sibomana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2NioymL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms