Na Mwandishi Wetu, CAIRO
TANZANIA imepangwa Kundi J pamoja na Tunisia, Libya na Equatorial Guinea katika kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2021 nchini Cameroon.
Majirani Uganda wapo Kundi B pamoja na Burkina Faso na Malawi na mshindi kati ya Sudan Kusini na Shelisheli zitakazomenyana katika mechi ya mchujo, wakati Kenya wapo Kundi G pamoja na Misri, Togo na Comoro.
Ethiopia wapo Kundi K pamoja na Ivory Coast, Niger na Madagascar, Rwanda wapo Kundi F pamoja na Cameroon, Cape Verde na Msumbiji, Burundi wapo Kundi E pamoja na Morocco, Mauritania na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na Sudan wapo Kundi C pamoja na Ghana, Afrika Kusini na mshindi kati ya Mauritius na Sao Tome & Principe.
Kundi A linaundwa na Mali, Guinea, Namibia na mshindi kati ya Liberia na Chad, Kundi kuna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Gabon, Angola na mshindi kati ya Djibouti na Gambia, mabingwa watetezi, Algeria wapo Kundi H pamoja na Zambia, Zimbabwe na Botswana.
Washindi wa pili wa fainali zilizopita, Senegal wapo Kundi I pamoja na Kongo, Guinea-Bissau na Eswatini na washindi wa tatu wa fainali za mwaka huu, Nigeria wapo Kundi L pamoja na Benin, Sierra Leone na Lesotho.
Mechi za kwanza za mchujo zilitarajiwa kuchezwa kuanzia jana na za marudiano zitafuatia Oktoba 7, wa mechi za makundi zitaanza Novemba 11, mwaka huu hadi Novemba 17 mwakani na washindi wawili wa kila kundi.
Wenyeji wa fainali hizo za 2021, Cameroon japo wameshirikishwa hatua ya makundi, lakini wao wamefuzu kwa tiketi yao ya uenyeji na matokeo yao yataamua tu mustakabali wa washiriki wengine kwenye kundi hilo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2or1TMj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms