• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ▼  Oktober (420)
      • Win with Betgames Africa and Hollywoodbets
      • SIMBA SC WAHAMISHIA HASIRA ZOTE KWA MBEYA CITY BAA...
      • YANGA SC YAWAFUATA PYRAMIDS FC KIKAMILIFU KUJARIBU...
      • Breeder's Cup 2019 - Day 1 Preview - Juvenile Races
      • MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA ...
      • International Best Bets - Friday 1 November 2019
      • International Racing: Kranji Best Bets – Friday 1s...
      • F1 2019: United States Grand Prix Preview
      • #GDogInJapan - East Coast Radio Rugby World Cup Up...
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 2 November 2019
      • SAMATTA AFUNGA BAO MUHIMU KRC GENK YATOKA NYUMA NA...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Friday 1 Novem...
      • Fairview Best Bets - Friday 1 November 2019
      • RONALDO AFUNGIA DAKIKA YA MWISHO JUVE YAICHAPA GEN...
      • RODRYGO AFUNGA REAL MADRID YAICHAPA LEGANES 5-0 LA...
      • RASHFORD AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI C...
      • LIVERPOOL YAING'OA ARSENAL KWA MATUTA CARABAO BAAD...
      • Rugby World Cup: 3rd/4th Play-Off - New Zealand vs...
      • Vaal Best Bets Thursday 31 October 2019
      • UK Racing Tips - Thursday 31 October 2019
      • Breeders Cup 2019 - Trainer Interviews
      • Third T20I: Australia vs Sri Lanka
      • Gritty Dolphins live to fight on at the Wanderers
      • Word Cup Final: South Africa vs England Preview
      • Rugby World Cup News: Finals Week
      • SIMBA SC YAPUNGUZWA KAZI SHINYANGA, YACHAPWA 1-0 N...
      • AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI...
      • PGA Tour/European Tour: WGC HSBC Champions Preview
      • PGA Tour: Bermuda Championship Preview
      • English Premier League: Week 11 Preview
      • German Bundesliga: Week 10 Preview
      • Telkom Knockout: Quarter-finals Preview
      • MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOL...
      • Telkom Knockout Quarterfinal: Kaizer Chiefs v Orla...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday - 30...
      • NFD: Week 10 Preview
      • Halloween Promotion: Terms and Conditions
      • AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHA...
      • AISHI MANULA KUSIMAMA LANGONI KWA MARA YA 100 LEO ...
      • Returning Dudgeon's four-for a shining light for t...
      • Charlie Appleby Trainer Interview - Breeders Cup 2019
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 30 October 2019
      • WTA Tour: Tour Championship | Selected Purple Grou...
      • ATP Tour: Rolex Paris Masters | Round of 32 Preview
      • Opinion: The summer of Stokes could continue at th...
      • First T20I: New Zealand vs England
      • International Racing: Happy Valley – Wednesday 30t...
      • Rugby World Cup Promotion: Stand a Chance to Win 1...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 29 October 2019
      • AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC I...
      • EBITOKE AFURAHISHWA NA MAHUSIANO MAZURI YA KIMTAND...
      • Wickets needed on day two in JHB
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA INNOCENT HAULE
      • MBEYA CITY YAZINDUKA NA KUICHAPA MBAO FC 2-1 KIRUM...
      • KZN Coastal Women's Side off to Winning Start
      • 5 Key Takeaways from this Weekend’s RWC Semi-Finals
      • Muthusamy back for Dolphins trip to Joburg
      • Comment & Win Campaign – Win 1 of 2 R500 Betting V...
      • YANGA SC 1-2 PYRAMIDS FC (KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA)
      • Second T20I: Australia vs Sri Lanka
      • UK Racing Tips - Monday 28 October 2019
      • REFA AKATAA BAO LA ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA CRYST...
      • MAN UNITED WAKOSA PENALTI MBILI, WASHINDA 3-1 UGENINI
      • LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1 ANFIELD, SASA YAIZIDI...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, AZA...
      • YANGA SC YACHUNGULIA MLANGO WA KUTOKEA AFRIKA, YAC...
      • NYOTA WA YANGA SC 1992, ZIMBWE, MZIBA, ASWILE NA I...
      • YANGA SC UAMUZI NI WENU KUSUKA AMA KUNYOA DHIDI YA...
      • SAMATTA ATOLEWA DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAICHAPA 1...
      • UK Racing Best Bets - Sunday 27 October
      • PULISIC APIGA HAT TRICK CHESLEA YAICHAPA BURNLEY 4...
      • MAN CITY YAICHAPA ASTON VILLA 3-0 NA KUIKARIBIA LI...
      • MECHI ZA NDANDA FC ZAAHIRISHWA BAADA YA TIMU KUPAT...
      • MTIBWA SUGAR YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-0 MCHEZO W...
      • International Racing: Sha Tin Best Bets - Sunday 2...
      • TFF YAMPA MKATABA WA MWAKA MMOJA NDAYIRAGIJJE KUWA...
      • WACHEZAJI WATANO WAUMIA BAADA YA BASI LA NDANDA SC...
      • Turffontein Best Bets Saturday, 26 October 2019
      • UK Racing Best Bets - Saturday 26 October 2019
      • F1 2019: Mexican Grand Prix
      • Gallagher Premiership: Round 2 Preview
      • Phaka Predictions | Rugby World Cup Semi Finals
      • PSL: Mamelodi Sundowns v Kaizer Chiefs Preview
      • Betgames Africa Promotion: Bet On War Of Bets & St...
      • First T20I: Australia vs Sri Lanka
      • MSUVA APIGA BAO LA TATU JADIDA YASHINDA 3-0 NA KUT...
      • PRO14: Round 5 Preview
      • MAN UNITED YASHINDA MECHI YA KWANZA UGENINI TANGU ...
      • NICOLAS PEPE APIGA BAO MBILI ZA HATARI ARSENAL YAS...
      • Chetty helps Dolphins to draw in PMB
      • UK Racing Tips - Friday 25 October 2019
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 KATIKA MECHI ...
      • English Premier League: Gameweek 10 Preview
      • MO DEWJI AWAZAWADIA WACHEZAJI SIMBA SC PIKIPIKI, S...
      • KILIMANJARO QUEENS YAPANGWA NA ZANZIBAR, BURUNDI N...
      • International Racing: Kranji Best Bets – Friday 25...
      • English Premier League: Gameweek 10 Preview
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Friday - 25 Oc...
      • Springboks Named to face Wales in Rugby World Cup ...
      • SIMBA SC 1-0 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » YANGA SC INA UWEZO WA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA PYRAMIDS KIRUMBA

YANGA SC INA UWEZO WA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA PYRAMIDS KIRUMBA

Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM
KATIKA msimu huu wa 2019/2020  ni miongoni mwa misimu ambayo itakumbukwa sana kwani tumeshuhudia Tanzania bara ikipata nafasi ya kutoa timu 4 katika michuano ya Kimataifa Barani Afrika,kwa maana timu mbili za Yanga SC na Simba SC katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika huku Azam FC na KMC  wakiwa wawakilishi wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Lakini katika hali isiyo ya kuvutia mpaka sasa wawakilishi watatu kwa maana ya Simba SC,Azam FC na KMC tayari wameyaaga mashindano hayo katika hatua za mwanzo huku timu pekee iliyobaki ni Yanga SC huku wakiwa sio sehemu ya michuano ya Klabu Bingwa badala yake wanawania nafasi ya kuingia makundi katika kombe la Shirikisho..
Yawezekana kuna sababu nyingi zimepelekea kupoteza timu tatu katika hatua hizi mbili lakini yote kwa yote bado sijaona malengo ya juu katika kuwa washiriki wa kweli kwenye michuano hii,kwani hutakiwi kushiriki kwakuwa nafasi imepatikana bali inatakiwa ushiriki ukiwa na malengo,nia na mipango ili kuona unakuwa na ushindani katika michuano hii mikubwa kabisa Barani Afrika.
Turudi kwa wawakilishi waliobaki ambao ni Yanga SC na wataanzia mchezo wao katika dimba la Kirumba jijini Mwanza siku ya jumapili ya Tarehe 27/10/2019 kwa kuumana na timu inayokuja kwa kasi katika  ushindani wa soka la Afrika Pyramid FC kutoka nchini Misri.
Pyramid FC ni timu changa ukilinganisha na Yanga SC kwa maana ya historia yake na hata uzoefu wa kushiriki katika michuano hii mikubwa na haijawahi kuchukuwa ubingwa wowote iwe nchini Misri au katika michuano ya Afrika kwani ndio msimu wake wa kwanza kushiriki ikiwa imeanzishwa mwaka 2008 na kupanda ligi kuu nchini mwao mwaka 2014 huku msimu uliopita ikimaliza katika nafasi ya  3 na kupata nafasi ya kushiriki michuano hii ya pili kwa ukubwa barani Afrika kwa upande wa vilabu.
Ni timu ambayo inapatikana katika jiji la Cairo ambayo uwanja wake wa nyumbani unaitwa 30 June Stadium   wenye uwezo wa kubeba watu elfu 30.
Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikijipenyeza katika kutafuta ufalme katika soka la Misri kwa kupata matokeo katika mechi dhidi ya vilabu vikubwa vya nchini mwao kama Al Ahly na Zamalek jambo lilopelekea kuwa miongoni mwa timu zinazozungumzika sana nchini mwao hasa kutokana na uwekezaji mkubwa waliofanya kwa kusajili wachezaji wa gharama na wenye uwezo mkubwa kutoka mataifa mbalimbali ambayo yamepiga hatua kisoka,wachezaji kama Wilfred Kanon mwenye miaka 26 Mlinzi wa kati kutoka Ivory Coast,Erick Traore mwenye miaka 23  winga wa kulia kutoka  Burkinafaso,John  Antwi mwenye miaka 27 mshambuliaji kutoka Ghana na Lumala Abdu mwenye miaka 22 mshambuliaji kutoka Uganda.
Aina ya uchezaji wake ni tofauti na timu nyingine kutoka Afrika kaskazini ambazo zinapocheza ugenini uja kwa kujilinda zaida hawa Pyramid FC wanacheza tofauti wao ushambulia na kutafuta ushindi nyumbani na ugenini hivyo namna ya kuwakabili inakuwa tofauti ukilinganisha na timu nyingine kutoka ukanda huo.
Nimeanza kwa kueleza machache ili Yanga SC waijue japo kwa uchache na nadhani na wao watakuwa wamesha wachunguza vya kutosha na kujua ubora na udhaifu wa wapinzani wao ambao wameamua kuwapeleka Mwanza katika mechi yao ya Tarehe 27 mwezi huu.
Bado naona Yanga SC wanaweza kupata matokeo endapo watarekebisha makosa ambayo wamekuwa wakiyafanya hasa katika michuano hii kwani silaha kubwa ya kupata mafanikio katika michuano mikubwa Barani Afrika kwa vilabu au Timu ya Taifa ni kutumia vema uwanja wa nyumbani jambo ambalo Yanga SC linawasumbua sana sana,wamekuwa na wakati mgumu sana katika mechi za nyumbani tofauti wanapokuwa ugenini sio tu kimatokeo ila hata uchezaji wakiwa ugenini wanacheza vizuri zaidi hata kama wanapoteza tofauti na wanapokuwa nyumbani,jambo ambalo linaonekana kuwaingia hata wachezaji na kuamini kuwa wanaweza fanya vema ugenini kuliko nyumbani lakini kipindi hiki wanakutana na timu kutoka kaskazini mwa Afrika ambao shughuli inafahamika wakiwa kwao.
Hivyo kwa kuanzia Yanga SC wanatakiwa kurekebisha hilo la matumizi ya uwanja wa nyumbani ili kuwa na mtaji mzuri katika mchezo wa marudiano.
Pia ni vema benchi la ufundi kuiandaa timu kwa kucheza mchezo wa kushambulia tena ni vema kama mechi ikianza mapema huku wakitumia winga na mipira mirefu jambo ambalo litawachosha wapinzani na kuwamaliza mapema katika jiji la Mwanza.
Timu inatakiwa kuwahi mwanza na kuzoea hali ya hewa na hali ya kiwanja kwani wasije wakajikuta nao wanakuwa wageni mwenyeji kwani hali ya Mwanza si sawa na Dar -es-salaam lakini pia uwanja wa kirumba haupo sawa na uwanja wa Taifa ambao umekuwa ukitumiwa na Yanga SC katika michezo yake mikubwa kwa hiyo kuna haja ya kuwahi ili waweze kutumia vizuri maamuzi yao ya kupeleka mechi Mwanza.
Mashabiki wa Yanga SC wote ni wakati wa kuungana na kuisapoti timu kwani kama inavyosemwa kuwa ni Timu ya wananchi kwa maana ni ya Watanzania na uongozi umelithibitisha hilo kwa kuwapa nafasi wananchi wa kanda ya ziwa kuishuhudia timu yao katika dimba la kirumba hivyo ni wakati wa wao kuonesha kuwa uongozi haukukosea na pengine kuendelea kuwafanya viongozi waamue kuendelea kuifanya timu icheze mwanza,hivyo jukumu lao ni kuujaza uwanja,kutoa hamasa ya kutosha kwa timu kipindi chote ambacho timu itakuwa uko na kufanya Yanga itinge makundi ikitokea mwanza ni nafasi adhimu ambayo wanayanga wengine katika kanda zingine nao wangetamani kuipata hivyo ni vema wakatumia fursa hiyo wana yanga wa kanda ya ziwa..
Wadau wote wa soka Tanzania tuwajibika kuwaunga mkono Wana Yanga sc kwani ndio wawakilishi pekee waliobaki katika michuano ya Afrika lakini tukumbuke kuwa uwakilishi wa timu 4 unatokana na kufanya vizuri katika michuano hii  sasa tumebaki na timu moja na tunahitaji kuendelea kuwa na timu 4 hivyo ni vema kuhakikisha Yanga SC wanaingia makundi na kutuongezea alama za kutufanya tubakie na wawakilishi 4 hivyo kwa maslahi mapana ya soka letu tuungane na kuwa kitu kimoja.
Mwisho niwatakie maandalizi mema kikosi cha Yanga SC kwani watambue kuwa Taifa lipo nyuma yao katika hili  hivyo wanapaswa kujitoa hasa kuhakikisha wanaipeperusha vema bendera ya nchi yetu..
MUNGU ibariki Yanga SC. MUNGU ibariki Tanzania

(Dominick Salamba ni mchambuzi wa soka anapatikana pia kupitia katika Akaunti zake za mitandao ya kijamii kupitia: Instagram: @dominicksalamba Facebook: dominicksalamba Twitter: dominicksalamba, au namba ya simu +255 713 942 770)


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2qhb6aV best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC INA UWEZO WA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA PYRAMIDS KIRUMBA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/10/yanga-sc-ina-uwezo-wa-kupata-matokeo.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 00.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
Copyright Viral Sports: YANGA SC INA UWEZO WA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA PYRAMIDS KIRUMBA