
TIMU ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na benki ya CRDB baada ya kufungwa na Mbeya City kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90.
Katika mchezo huo wa Hatua ya 32 Bora — Mbeya walianza kupata bao kupitia bao kupitia kwa Daniel William dakika ya 64, kabla ya kiungo Yahya Zaid kuisawazishia Azam FC dakika ya 90’+5.
Kwenye mikwaju ya penalti waliofunga kwa upande Mbeya City ni Adili Buha, Baraka Philemon, David Mwasa na Riffat Msuya, wakati Kilaza Mazoea alikosa.
Kwa upande wa Azam FC ni beki Lusajo Mwaikenda na kiungo Mghana, James Akaminko pekee waliofunga, huku winga Mgambia, Gibril Sillah na beki Nathaniel Chilambo wakikosa.
Mechi nyingine za 32 Bora leo, Singida Black Stars wameitupa nje Leo Tena kwa kuichapa 4-0 Uwanja wa CCM LITI mjini Singida, KMC wameichapa Cosmopolitan 2-0 Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam na Big Man FC wameitoa Tanzania Prisons kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.
Ikumbukwe jana Mashujaa ilikuwa timu ya kwanza kutinga Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold bao la mkwaju wa penalti la Abdulrahaman Mussa dakika ya 83 Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YvRHqx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms