TIMU ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo a Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamefungwa na winga Mkongo, Elie Mpanzu Kibisawala dakika ya 16, kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua mawili, dakika ya 21 na 45’+1, mshambuliaji Mganda, Steven Dese Mukwala dakika ya 46 na kiungo Mtanzania mwenye asili ya Kongo, Kibu Dennis Prosper mawili pia, dakika ya 54 na 69.
Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 57, ingawa Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 57, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Yanga baada ya wote kucheza mechi 22, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 27 za mechi 23 sasa nafasi ya nane.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/YSAVymv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms