
WENYEJI, JKT Tanzania jana walifanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Mara Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya JKT Tanzania yalifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 19 na Najim Magulu dakika ya 47, wakati bao pekee la Biashara United lilifungwa na Freddy Kiwale dakika ya 82.
Nayo Tabora United ikaitupa nje Transit Camp kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mabingwa wa zamani wa michuano hiyo, Mtibwa Sugar wakaitupa nje Town Stars kwa kuichapa mabao 5-3 Uwanja w Manungu Complex, Morogoro.
Mechi nyingine za Hatua ya 32 Bora jana Mbeya Kwanza iliichapa Mambali Ushirikiano mabao 3-0 Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Nao Songea United wakapata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Polisi Tanzania Uwanja wa Ushirika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wakati Giraffe Academy waliilaz Green Warriors 1-0 Uwanja waUwanja wa Azimio mjini Katavi.
Ikumbukwe Jumapili Azam FC ilitupwa nje ya michuano hiyo baada ya kufungwa na Mbeya City kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 - Mbeya wakianza kupata bao kupitia bao kupitia kwa Daniel William dakika ya 64, kabla ya kiungo Yahya Zaid kuisawazishia Azam FC dakika ya 90’+5.
Kwenye mikwaju ya penalti waliofunga kwa upande Mbeya City ni Adili Buha, Baraka Philemon, David Mwasa na Riffat Msuya, wakati Kilaza Mazoea alikosa – wakati kwa Azam FC ni beki Lusajo Mwaikenda na kiungo Mghana, James Akaminko pekee waliofunga, huku winga Mgambia, Gibril Sillah na beki Nathaniel Chilambo wakikosa.
Mechi nyingine za 32 Bora Jumapili, Singida Black Stars waliitupa nje Leo Tena kwa kuichapa 4-0 Uwanja wa CCM LITI mjini Singida, KMC wakaichapa Cosmopolitan 2-0 Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam na Big Man FC wakaitoa Tanzania Prisons kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.
Awali, Ijumaa Mashujaa ilikuwa timu ya kwanza kutinga Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold bao la mkwaju wa penalti la Abdulrahaman Mussa dakika ya 83 Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/oX4rktd
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms